Suti ya Kigwa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267

Kati ya wote hapo nimevutiwa na suti ya Mh. Kigwa, there is a lot to tell....huyu Machali naye muda mfupi tu kawa hivi jamani?
 
most likely...alivyotaarifiwa kuhusu safari akaamua kusoma historia ya uchina na japan akakuta enzi hizo walivaa suti hizo akadhani bado wanazivaa....ana akili iliyoganda
umetanua wigo wa uelewa wangu
 
...mbona kama wanaogopa,mchina tu ndo ka relax...
 
Nimekupa LIKE lakini sijakusoma hapa Ngekewa ni kwa kuchangia tu


Mbona hao wachina na wajapani hawavai tena hizo suti za "Mao" Hizo zilikuwa suti za Makomredi kina Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…