Suti ya Kigwa

Kumbe ndo maana KIGWA alianzisha uzi wa kumsifia JK kule jukwaa la siasa, leo nimekubali inabidi utafakari kwanini mtu anaamua kuwa msemaji wa mwingine.
 
View attachment 96327
Kati ya wote hapo nimevutiwa na suti ya Mh. Kigwa, there is a lot to tell....huyu Machali naye muda mfupi tu kawa hivi jamani?

Mbina anaetizama Camera ni Mh tu na wengine wanatizama kwengine what does this mean? Na Mkuu anaonekana hayuko comfortable kivile sijui ni kuchoka
 
most likely...alivyotaarifiwa kuhusu safari akaamua kusoma historia ya uchina na japan akakuta enzi hizo walivaa suti hizo akadhani bado wanazivaa....ana akili iliyoganda

da hiyo itakuwa akili mgando hakumuona hata xi jinping alivokuja alikuwa katupia designer suit??au anadhani bado wanaishi enzi za Mao tsetung aisee??
 
Back
Top Bottom