Suspended Undergraduate Students, The University of Dodoma

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
To:
Suspended Undergraduate Students,
College of Humanities and Social Sciences, and
School of Natural Science and Mathematics,
The University of Dodoma

RE: NOTICE OF INTENTION FOR INSTITUTING DISCIPLINARY
PROCEEDINGS


(Made under Rules 50 and 51 of the Rules of the University of Dodoma
Charter, 2007 and Rule 13.1(vi) of the University of Dodoma Students` By-
laws, 2010)

TAKE NOTICE THAT, the University of Dodoma Students Disciplinary
Authority intends to institute disciplinary proceedings against you on your
involvement in the June, 2011 unrest at the College of Humanities and Social
Sciences and at the School of Natural Science and Mathematics, the
University of Dodoma.

TAKE FURTHER NOTICE THAT, you are hereby given 21 days from the date
of first appearance of this notice to make representation in writing basing on
the following:
a. How you were personally involved in the unrest, boycott and
demonstrations, and
b. The grounds upon which you will rely so as to exculpate yourself.


NB:
- Along with that notice you should abide by the following conditions:-
Your letter MUST;
i.
Have answers that should be numbered and in point form.
ii.
Clearly indicate your current contact address;
iii.
Be posted in the form of Registered Mail;
iv.
Be addressed to Deputy Vice Chancellor-Planning, Finance and
Administration, The University of Dodoma, P.O.BOX 259,
DODOMA;
v.
Be witnessed by signatures of your Parent or Guardian, Village
Executive Officer (VEO) and District Commissioner (DC). The
VEO and DC should retain a copy of your letter for verification by
the University of Dodoma Management

View attachment Notice_to_Social_and_Natural_Science_students.pdfView attachment LIST_OF_NAMES.pdf
 
pumbafu zaoo..huu ni ukoloni.hiki kizazi cha hivi vizee sijui kitaisha lini,viondokee zao ndio nchi itatulia na elimu itaimarika kwa haki.
 
pumbafu zaoo..huu ni ukoloni.hiki kizazi cha hivi vizee sijui kitaisha lini,viondokee zao ndio nchi itatulia na elimu itaimarika kwa haki.
hadi wazazi wako au ni hawa wazazi we2 2 ndio unao waombea waondoke?
 
vyuo vya tz sijui huwa mnasoma muda gani coz wkt wote ni mifarakano tuuu, acheni waliosoma nje watambe maofisini mbaki mnalalama.... tena ni risky kuajiri watz maana watakuwa wanaleta migomo kazini kila leo,jasir(l)i haachi asili
 
hivi haya mambo ya kufika hadi kwa dc yana maanisha nini?DC ni nani kwenye mustakabali wa elimu ya kijana wa kitanzania?je kwa zile wilaya ambazo mpaka sasa hazina ma-DC wafanyeje hao wanafunzi-mi naona vyuo vya hii nchi vimekuwa vikitumia threats sana na azabu kali ili kuwanyamazisha wanafunzi-ili next time wawe waoga-viongozi wa vyuo as long wote wamewekwa pale na wanasiasa-wanajikuta wanaweka taaluma zao kapuni na ku -apply terms za wanasiasa-BARUA NI MOJA YA BARUA ZA KIPUMBAVU NILIZOWAI KUZIONA
 
vyuo vya tz sijui huwa mnasoma muda gani coz wkt wote ni mifarakano tuuu, acheni waliosoma nje watambe maofisini mbaki mnalalama.... tena ni risky kuajiri watz maana watakuwa wanaleta migomo kazini kila leo,jasir(l)i haachi asili
wa2 mlosoma india mna matatzo sana.
 
wa2 mlosoma india mna matatzo sana.
heheheh..! Mkuu hapo umeniacha hoi sana! Umenikumbusha kuna best flan tulimaliza wote A-level shule flan ya girls, ye si akala '0',! Afta sometimes tukaskia anasoma llb india! Tukabaki na mshangao
 
heheheh..! Mkuu hapo umeniacha hoi sana! Umenikumbusha kuna best flan tulimaliza wote A-level shule flan ya girls, ye si akala '0',! Afta sometimes tukaskia anasoma llb india! Tukabaki na mshangao
mbona wa hvo wako wengi 2 mkuu,akiwemo na huyo jamaa hapo juu!!
 
Hiyo yote kazi ya MLCH na Kkl! Wanatekeleza agizo la mkuu waacheni wafanye wanayotaka kwan wameshikilia makali ukivuta tu,unabaki na damu! Ila kiukweli wanayoyafanya niKUDHALILISHA HADHI ZA TAALUMA ZAO WENYEWE!NI AIBU KWA MSOMI TENA PROF..KUENDESHWA NA MWANASIASA AMBAYE TAALUMA YAKE NI NDOGO TENA YA MASHAKA!!
 
wa2 mlosoma india mna matatzo sana.

mkuu hujanielewa, sijasoma india nadhani kama huwa unafuatilia mijadala redioni/tv kuhusu employability ya wanafunzi wa tz utakuwa umenielewa... tuache ushabiki wkt mwingine kila kitu serikali serikali... imeua elimu lkn hatuangalii pia upande wa mwanafunzi (tunaassume mwanafunzi ni saint)

post yangu ya hapo juu ni kwamba kuna mada "tz vs abroad graduates : who would you hire and why" ilishajadiliwa miaka 3/4 hivi iliyopita na hiyo ndiyo ilikuwa conclusion (wengi waliojadili walikuwa ni employers) yao.
 
mkuu hujanielewa, sijasoma india nadhani kama huwa unafuatilia mijadala redioni/tv kuhusu employability ya wanafunzi wa tz utakuwa umenielewa... tuache ushabiki wkt mwingine kila kitu serikali serikali... imeua elimu lkn hatuangalii pia upande wa mwanafunzi (tunaassume mwanafunzi ni saint)post yangu ya hapo juu ni kwamba kuna mada "tz vs abroad graduates : who would you hire and why" ilishajadiliwa miaka 3/4 hivi iliyopita na hiyo ndiyo ilikuwa conclusion (wengi waliojadili walikuwa ni employers) yao.
kwa hyo we unaona wanafunz kudai haki zao za msingi ni kosa?
 
kwa hyo we unaona wanafunz kudai haki zao za msingi ni kosa?
Hebu muulize tena, nadhan hajakusikia! Watu wengine bwana! Sijui ni makada? Hiv hajui kama wanafunzi walioko katika hatari ya kufukuzwa chuo ni hasa wale waliokuwa wanajulikana kama wafuasi wa chadema? Tukiachana na hilo nadhani pia hajui nin chanzo cha mgomo! Kwa taarifa yake chanzo cha mgomo ni waziri wa elimu kuwadanganya full stopppp....!
 
mada ya migomo imejadiliwa sana kwenye post ya Pdidy, sipingi kudai haki mnielewe hivyo nichopinga ni sababu na njia za kudai haki. mimi ni mpinzani sugu wa serikali lkn kwenye ukweli huwa nasimama hapo na upinzani naweka pembeni. hamieni kwenye post ya pdidy
 
Back
Top Bottom