Suruali, Skintight, kyupi, vyote vya nini?

Yaani wewe unataka vya rahisi hiyo sahau hata ukitaka kuFATAKI mpaka ufike kunako wasamalia wema washatinga eneo la tukio
 
Jamani punguzeni mavazi kina mama. Mnavaa utafikiri mnaenda vitani? Vaeni kama mchumba wangu Cheusimangala.

hehehe kazi ipo, kila ukiwaona unasimamisha bunduki ya vita
ndio wanaenda vitani wapeni bunduki imara ohooo
:nerd::nerd::ranger:
 
Si hivyo best wangu. Nawashauri kwa sababu za kiafya. Soma kitabu cha 'Mahali Pasipo na Daktari'. Jiulize ni kwa nini mama wa Kimasai si wengi wanapatwa na kansa ya kizazi.

Kitabu hicho kinapatikana pia kwenye mtandao wao, fungua google tafuta "where there is no doctor" utaweza kukipakua na kuhifadhi kwa matumizi yako, last updated ni october 2010!! wapunguze kutufichia uumbaji sie jamani, yaani wanataka tusubiri hadi tunaporudi home!!! mie siwezi bana!!
 
wasipovaa manguo ming ya kujiziba zba neno..wakivaaa vnguo vya leta upepo nalop neno....ahh ja,man...

bora hata umesema dia maana leo nimeona post ya pdidy analalamikia mavazi ya kike eti yanawatega sasa huyu nae anataka tuvae vipunga upepo which is which?
 
Jamani kweli hata mimi nimeliona hili mwanamke anaanza kuvua suruali,skintight,chupi kubwa halafu chupi ndogo akimaliza hata hamu imeisha. Kuna dada mmoja niliomba kudance nae club alivaa gauni fupi tu hamna sidiria wala chupi chuchu zinachoma kifuani na mikono inapita kiunoni hadi raha kwenye slowdance.
 
mmmh hiyo kali
 
eeeh mi hata chupi huwa sivai napata full kipupwe so msinihesabie kwenye hiyo post mtakua mnanionea

Yaani wewe dada unafaa sana. Utaishi miaka mingi. Be as natural as you can. Sijui nitakuonaje ili tuanzishe NGO ya kuwahamasisha kina mama wengine? Mie nimeshaongea na NORAD na wamekubali kufadhili mradi huu. Cheusi wangu na Preta lazima tuwe nao, unasemaje?
:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:
 
heb imagine mdada na kitentemente chake afu ndani chukuchuku inakuwaje????
 
Jamani kweli hata mimi nimeliona hili mwanamke anaanza kuvua suruali,skintight,chupi kubwa halafu chupi ndogo akimaliza hata hamu imeisha. Kuna dada mmoja niliomba kudance nae club alivaa gauni fupi tu hamna sidiria wala chupi chuchu zinachoma kifuani na mikono inapita kiunoni hadi raha kwenye slowdance.

Jamani mie siko huko; ninakaribia miaka kumi tangia niache shughuli hizo. Mimi nashauri kama Daktari wa magonjwa ya kike.
 
Yaani wewe dada unafaa sana. Utaishi miaka mingi. Be as natural as you can. Sijui nitakuonaje ili tuanzishe NGO ya kuwahamasisha kina mama wengine? Mie nimeshaongea na NORAD na wamekubali kufadhili mradi huu. Cheusi wangu na Preta lazima tuwe nao, unasemaje?
:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:

wazo zuri naunga mkono hoja coz tulizaliwa utupu ni lazima tuishi hivyo nadhani we anza kutafuta frame kwa ajili ya ofisi mi mtaleta assets
 
Lakini cheusi hapo upo mtupu au kuna nguo, kila nikiiangalia hiyo picha mapigo ya moyo yanaenda kasi
halafu rose unakonyeza kila sekunde, hivi ile sheria ya kukonyeza watu inasemaje? me ntakufunga, tena ndani kwangu kwa siku 200.
 
Jamani mie siko huko; ninakaribia miaka kumi tangia niache shughuli hizo. Mimi nashauri kama Daktari wa magonjwa ya kike.

ukijaaliwa kabinti kako kana miaka kama 10 hips ishatoka kawowo kanachungulia basi mtembeze hivyo unavyoona inafaa mtume tume dukani sokoni, n.k kitachomtokea ndio utajua faida ya kuepuka magonjwa ya kike kwa kuvaa chupi na skintight
 
wazo zuri naunga mkono hoja coz tulizaliwa utupu ni lazima tuishi hivyo nadhani we anza kutafuta frame kwa ajili ya ofisi mi mtaleta assets

Asset za gani? Asset kubwa ulimi. "Upepo ni dawa". Dr. Ndodi.
 
eheheheh mie leo sijavaa hizo kufuli zenu....infact when am at home ni upepo moja kwa moja......anagalau aeration!
 
Jamani kweli hata mimi nimeliona hili mwanamke anaanza kuvua suruali,skintight,chupi kubwa halafu chupi ndogo akimaliza hata hamu imeisha. Kuna dada mmoja niliomba kudance nae club alivaa gauni fupi tu hamna sidiria wala chupi chuchu zinachoma kifuani na mikono inapita kiunoni hadi raha kwenye slowdance.

tehe tehe uproto chupi kubwa ndio lipi na chupi ndogo ndio ipi? mbona kazi kubwa.

halafu mnavyosema kuwa hata mimi nimeliona hili? huwa mna maana gani? yaani mnaona mkiwa huko kwenye kufatakisha watoto wa wenzenu au kwa wake zenu?
 
Back
Top Bottom