SOSTENESS J.N
Member
- Feb 13, 2013
- 83
- 19
Vinyweleo miguuni utazani gatuso
why madada mnapunguza mvuto wenu kwa kudhamini vazi la suruali
why madada mnapunguza mvuto wenu kwa kudhamini vazi la suruali
heeeh! Kumbe ukivaa suruali vinyeleo mguuni vnaonekana!!?
Walembo ndo kabila gani hapa Tanzania???
gatuso aliyekuwaga football player wa ItalyGatuso ndio nini......
halafu hoja yako sijaielewa....
Tukivaa sketi hivo vinyweleo ndio havionekani
Hahahahaha wale good looking..
Hahahaahahahahahahahahahahahahahaha jf nomaa aaah yaani haiishi vitukoaisee wewe uliyepost huu uzi nahisi operation kimbunga inakuhusu maana sijui umepost kitu gani,jamani wazee wa uhamiaji mpo?
afu wewe nishakukataza kukatiza mbele yangu uwanjao unanitia majaribuni banaHapo sasa..sijui suruali gani zinazozungumziwa hapa
gatuso aliyekuwaga football player wa Italy
afu wewe nishakukataza kukatiza mbele yangu uwanjao unanitia majaribuni bana
Unavaa size gani Skinny Jeans kiuno, hips?JF ina nini sioni notification zangu.......
Kumbe mie simjui hata