hizo ni suruali za kizamani zilizokuwa zinashonwa kwa sindano ya mkono imekaa kama pukutio la mashineni.Gatuso ndio nini......
halafu hoja yako sijaielewa....
Tukivaa sketi hivo vinyweleo ndio havionekani
Vinyweleo miguuni utazani gatuso
why madada mnapunguza mvuto wenu kwa kudhamini vazi la suruali
Hivi shule mnafungua lini??!
Haya ndio matokeo ya BIG RESULTS NOW