Suruali Imeniaibisha Kwenye Daladala.....!!

Loh?
Pole sana Katavi, napata picha jinsi ulivyokuwa unatembea kama unashoot video ya Hakunaga..
Bwahahahahaha....
Ha ha ha haaah!!! Mphamvu usiombe aisee ukakutwa na mkasa kama huu...
Nilikuwa natembea kwa staili ya aina yake...
 
Last edited by a moderator:

mbona husemi bei hatutakucheka ila jua rahic ni àghali na ughal wake huja kama hiv xo ur falt has bn a lesson 4 us
 
I can imagine wakati ulipogundua imetatuka ulikua katika hali gani teh teh pole sana..
 
Pole sana mkuu. siku nyingine usivae tena viskin jinsi!!
MAPROSOO.
 
Ha ha ha haaah!!! Mphamvu usiombe aisee ukakutwa na mkasa kama huu...
Nilikuwa natembea kwa staili ya aina yake...

Nafahamu adha yake mkuu, imeshawahi kunitokea mara moja.
Hata kampasuko kadogo kanaweza kukufanya utembee kimazabe, hata kama watu hawakutazami.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom