Uzungu unatuzuzua tu, kwani lazima mzae? si mnaweza ku adopt tu! Tatizo letu tumeweka mawazo kua ndo ni watoto ndo maana kunatokea kuto kuelewana kati ya wanandoa pindi tu pale mmoja wao anapojulikana hana uwezo wa kuzaa.Kwa ukichaa wa kisasa huruhusiwi hata kushangaa......
...penye makubaliano, hakuna litaloshindikana.
Halafu hilo la kubeba mimba miezi tisa, kuna wengine siku wanayojifungua ndio siku
anayo kinyonga kitoto au kukitupa chooni!
hapo red:Hii pia ni 100% culture ya Waafrica nendeni mpate simulizi za wazee walivyokuwa wakiingia makubaliano na nduguze kumzalia (kumlala mkewe) pindi anapokuwa functionless.jamani mimi leo nataka kuuliza kuhusu haya mambo ..
maana yanakua kwa wingi sana
ni kweli si kila mwanamke amejaliwa kupata mtoto wake mwenyewe
utakuta mtu na mumewe wanaishi pamoja lakini hawaku jaliwa mtoto
na wanataka sana mtoto au utakuta gay couple wanataka mtoto
wanacho fanya wanaomba mwanamke mwingine awazalie mtoto..
huwa wanapenda wanawake ambao tayari wanafamilia zao
(i mean familia yenye baba mama na watoto)
kuna wengine wanaruhusu wake zao walale na mwanaume mwingine
, na kuna wengine wana pandikiziwa mbegu..
maswali yangu yanakuja hapa ..
umebeba mimba miezi tisa, ukijifungua tu mtoto anachukuliwa kwa madai
kwamba mtoto si wako ....
Je mtoto ulie mbeba miezi tisa kweli si wako au ???
na we mwanaume utajisikia vipi kuona mkeo ana mimba ya mtu mwingine ??
Afrodenzi said:https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/125533-my-girlfriend-has-a-girlfriend.html
Wakuu napenda
Kutanguliza samahani kama hii
topic itawakwaza wengine..
Afrodenzi said:https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/99835-wangapi-wanakubaliana-na-hili.html
watu wawili wanapendana sana .. nani wanandoa kwa muda wa miaka 6..
mama kagundua baba anatoka nje ya ndoa....
alichofanya alimshauri mmeo wawe na open Relationship....
Afrodenzi,
Tafadhali nenda polepole, the way I SEE it, you are likely to be carried away ....
Referring to these two threads below:-
Pasaka yangu iko wapi??Makubwa kweli kua uyaone :amen::amen:
Pasaka yangu iko wapi??
Nakuja unizalie mtoto na mimi nataka mtoto tuChumbani inakusubiria mwaya :smile-big:
Nakuja unizalie mtoto na mimi nataka mtoto tu
:a s 39::a s 39::a s 39::a s 39:njoo nami nataka mguu wa tatu tuu:a s-coffee::a s-coffee: