Surprise kwa wanaume!!!

.... nitamfuata kumchukua kazini jioni (sio kawaida yangu) nitampeleka restaurant tukapate dinner for two a normal one hii huwa tunatoka mara kwa mara (not special prepared). Sasa nataka kubook hotel (not guest house) tukalale huko baada ya kupata dinner na kuamkia hapo next day which will be saturday tunapata break fast then nampeleka job coz yeye anaenda job saturday. Hii ya kulala hoteli hatujawahi tangu tulipotoka honeymoon....
Some food for thought...

Sijui mumeo anafanya kazi gani, ila inabidi uwe makini sana na hii surprise yako. Kumfuata kazini, bila ya kumwambia in advance, unaweza kuishia kuwa disappointed....kuna kazi nyingine sometimes unalazimika kutoka late (say kuna report lazima iishe siku hiyo!). So ni vema ukajua vizuri ratiba yake ya kazi ya siku hiyo na hata siku inayofuata. Kazi nyingine zina ma-stress ya ajabu, ikifika jioni upo hoi, unafikiria "kupumzika" wakati huo huo ukifikiria jinsi ya kumalizia viporo vya kazi siku inayofuata (naweza kuwa ngumu kwa mtu wa namna hii kurelax na kukupa attention unayoihitaji). Kama ni mpenzi mkubwa wa mpira na timu yake jioni hiyo unayoisema inacheza mechi muhimu, ni vema ukalizingatia hilo pia! Jengine ni kama ana nyumba ndogo inategemea nayo imeandaa nini na ina nguvu/influence kwa kiasi gani. Ni muhimu kuzingatia haya ili usije kujikuta umeingia hasara ya kubook chumba halafu for some reasons jamaa akashindwa kutoka na wewe kama ulivyopanga.

But, ceteris paribus, ni wazo zuri na mumeo atakufurahia! Kama wewe ni risk averse, unaweza angalau kumpa taarifa kuwa siku hiyo jioni/usiku a-reserve kwa ajili yako tu bila kumwambia hasa unanata kufanya nini.Njia hii pia inamfanya apate "hamu" zaidi!
 
Inapendeza sana lakini angalia asije akaona mke wangu mambo ya hotel wapi? akaanza kukufikiria vibaya
A%20S%20465.gif
 
Thanx for the words of advise, i have take all the precautions in case of after all am a very good risk taker ever since tumeoana tumapitia mambo mengi sana lol! hapo kwenye nyumba ndogo ndo niko shallow....mmmh!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mimi jamani nipo kihalisia zaidi, haya mambo ya kushtukizana yanaweza kuleta madhara ambayo yataishia kwny majuto! Dunia ya leo watu wengi sn tunaacha kabisa tamaduni zetu na kujikita kwny utumwa wa mapokeo ya umagharibi na kujifanya kwenda na wkt hali ya kuwa sisi c wa aina hizo. Ushauri wangu kwa bi mdada, hizo senti za ziada unazotaka kumshtukiza nazo mumeo hebu kaeni chini mfikirie kimojawapo kati ya viwili hivi: 1. Mkatoe sadaka ya chakula kwa watoto yatima au wanaoishi ktk mazingira magumu, au 2. Katoeni sadaka kwa Mungu wenu ili mjitengenezee makazi mazuri huko muendako. Afterall, tarehe ya kuzaliwa ifikapo ni ishara kuwa mwaka umetoweka ktk muda wako wa kuwa duniani, fikra yangu ni kwamba; tunatakiwa tusikitike kwa kuachwa na wkt na c kushangilia kusogea kuelekea mbele kwny foleni ya mtoa roho! Ni maoni tu!
 
Hapo ndo raha ya kuwa mke. He is yours. Kama kuna nyumba ndogo (kama kweli ipo) na imejiandaa na suprise zake...huu ndio muda wake wa kuisoma namba...Lol. Kaba mpaka penati

Thanx for the words of advise, i have take all the precautions in case of after all am a very good risk taker ever since tumeoana tumapitia mambo mengi sana lol! hapo kwenye nyumba ndogo ndo niko shallow....mmmh!
 
Fanya hivi. Kwa vile mna watoto, nao wana haki ya kusherekea birthday ya baba yao. Kwa hiyo, kamchukue kazi mpeleke moja kwa moja mpaka nyumbani sherekeheni birthday na watoto.

Mkishamaliza kusherekea na watoto, sherekeheni kivyenu sasa. Mpeleke kwenye gari, mfungulie mlango (upande wa abiria), funga mlango na wewe nenda upande wa dereva. Funga mlango, then mfunge kitambaa cheusi machoni, baada ya kumaliza, mwambie IT IS OFFICAL, UMETEKWA NA TUNAELEKEA MSITU WA ……..(kama sio daktari lakini na hana uhusiano na yule dokta aliyetekwa au mgomo wa madaktari).

Mpeleke mpaka kwenye hoteli husika, ila hakikisha unapita kwenye njia za kupindapinda. Ukienda direct anaweza kusoma ramani na kujua mnaelekea wapi. Mkifika kwenye hoteli, mshushe kwenye gari, then mfungue kitambaa (huwezi kuingia nae kwenye hoteli na kitambaa usoni usije ukaitiwa polisi bure), then mwambie hapa ndio msitu wa …….. na mateso yote utayapata hapa for the whole night.

Mpeleke mpaka ndani then anza kumtesa. You know what I mean. Kwa vile it is his day, you will have to do all the workout. Yeye atakuwa anafaidi tuu. Forget about him satisfying you for that night. Instead satisfy him for all night. It is a shame anaenda kazini kesho yake though. Lakini kutokana utakavyomtesa usiku huo anaweza kupiga simu kazini kudai anaumwa.

ONYO: Kabla ya kufanyia hayo hakikisha ni mtu wa kuependa kusherekea birthday yake. Wanaume wengine hawapendi na ndo maana wengi huwa wanasahau birthdays zao na hata za partners zao. Pili make sure ni mtu anayependa utani. Maana asije akapiga kelele kwenye gari baada ya kumwambia kuwa ametekwa. but wanaume wengi wanapenda kutekwa lakini na wanawake TUU.
 
Tatizo foleni jamani... Kama anaishi pugu atoke kazini saa 11 fika home saa mbili tatu...wale wakate keki saa tano...Waelekee sijuhi ndo doule tree masaki kufika saa sita saba... kha..kumbuka hapoa analipa $240 inabidi atumie ela yake to the maximum... isitoshe kesho yake kuna kwenda kazini.

Watoto watoto nini bana...let them forget about kids...wanarudi kwenye ujana kwa muda.. mnajua watoto ukiwaendekeza ni viwingu kwenye mapenzi...Wana nafasi yao ndio lakini sometimes we need a break.

Kuhusu kufungana vitambaa sidhani kama ni necessary...amwambie tu leo nakutoa dinner mpenzi wangu...the fact kuwa baada ya dinner kuna chumba kiko reserved ni suprise tosha...Sioni hata haja ya keki hapo kwani they are just two of them. Huwezi kumkurupusha mtu mzima mkaanza kukata mitaa ya masaki bila kutoa maelezo mnaelekea wapi.

Kama mmoja hapo amesema alifanyiwa suprise akamwambia wife asipoletewa binti yake basi hakubali kulala hotelini...Mi ningekuwa mkewe ningenuna hata kama mtoto ni wangu...Yani mtoto ni number one sijuhi mimi namba yangu ngapi sasa.

It all depends on the relation she has with her husband. The idea is to have some fun and excitement, to fulfill a fantasy that he might have. this is just my suggestion, mwenyewe aone yakuongeza na yakupunguza. Wewe unaweza kuona kitambaa na cake havina umuhimu ila wahusika wakaona inafaa as perfection starts in the details. just let her pick what she likes.
 
Mwali asante sana kwa maneno mazurii nimependa idea ya kumfungulia mlango nitamfunga na mkanda pia. Hapo kwenye kutumika sasa lol machejo machejoooo heheeeiyaaa! anaweza akaomba msaada redcross wa first aid akiona maujanja yanazidi lol. Thanks much huko nitakuwa full kujiachia kwani hiyo pia itakuwa moja ya zawadi.

Nyumba kubwa nimekupata sana kwa kuzingatia miundombinu ya bongo naona hili la watoto nimeshalitoa kwenye list na hata nikisema nije nao hotel hiyo nayo ni bajeti ingine na itakuwa ni family vacation na si surprise birthday, asante sana kwa msisitizo.
Wote pamoja sana
 
ni vzuri ulivyofikilia je ataenjoy?asije akashindwa kulala akawa na mawazo
 
Back
Top Bottom