Surprise kwa wanaume!!!

mmmh!...........n nzuri lkn mumeo anapenda aina hiyo ya mitoko mfano kama hapendi ishu za kulala hotelini asije akakushangaza maidia.
Wasiwasi wangu, kwa mfano wakifika katika hiyo Hoteli, mhudumu anamwambia mzee, "Muheshimiwa, tumekuandalia kile kile chumba chako cha kawaida?"
Naamini suprise ingeishia hapo hapo.

:focus: Kwa mimi ningekushauri utafute Hoteli za ufukweni kwa mfano pale Double Tree by Hilton pangekufaa kwa usiku mmoja pia Coral Beach napo ni pazuri maana pia kuna mandhari nzuri ya kujivinjari.
 
Supprise pekee amabayo mumeo hatoisahau na itafanya akupende milele na milele ni T.I.GO.Hakika utaukumbuka ushauri wangu.jaribu hatowaza kukuacha.nakutakia supprise njema!

lol! penye msafara wa mamba hata kenge wamo, miye nlijua kutakuwa na masihara tu hapa ila niko sirias. TIGO kwangu nop!
 
mpe zawadi ya jersey kila akiivaa anakukumbuka..i wish ningekushauri umnunulie boxer sema atakuwa anawavulia wanawake wenzako..chupi ununue wewe wafaidi wenzako wapi na wapi...

ila kama uwezo upo fresh mtie kitu cha toy-hummer kila akipita kitaa anawasimulia washkaji kaninunulia mke wangu...ndiooo..mbona beyonce kamtia jigga kitu cha mabawa...fanya fasta mamaaa utashindwa kumsaplay-iz mmeo haya weee.

asante sana will work on it too
 
So you want to reciprocate hapo kwa red, haya bana! Ngoja wataalam wa haya mambo waje kwani mimi na mke wangu tulishatoka huko! tunafanyia watoto tu basi

hata sie tunawafanyia watoto wetu sana ila nimeona nasi tule maisha kidogo kukumbushia enzi na kuziba nyufa za mapenzi
 
Nimeipenda idea yako ni nzuri sana kwenye kulikuza penzi lenu ......lakini anafaa kwa suprise soma mazingira kwanza usije ukashangazwa wewe ....

ni kweli ndomana nikaomba ushauri hasa kwa wababa huwa anafurahia surprise ninazomfanyia ila hii itakuwa mpya
 
Hiyo imekaa njema mamito........ila una kipato??asije akaanza kukuuliza pesa umepata wap ndo ukawa mwanzo wa utata, kama uncho kitakachoverify value for money then endelea mama, very nyc suprise, mwongeze na jezi ya timu aipendayo ya mpira iloandkwa jna lake, orijino lakini sio mdosho
.............ngoja nimwambie na huyu huku anisuprise hivyohivyooooo!!!!
yeah nafanya vyote hivyo vilivyo ndani ya uwezo wangu kifedha hatakuwa na wasi hata chembe hapo kwenye jezi nimepapenda pia naongezea kwenye list. thanx
 
Kwa mimi nahisi ntaku-do like never before sijui kama hiyo kesho yake utaweza hata kunipeleka huko kazini,ila imekaa vizuri sana na kama ntakuwa na kinyongo changu nahisi siku hiyo kitaniisha ila ukitaka kunipatia zaidi there must be at least 2 Beers hii itakufanya usinisahau maisha yako yote(that is me,i say me) maana kama alivyo commnet hapo juu gfsonwin mwingine inaweza kuwa majuto kwa arrengemnet zako zote ulizoandaa.
 
Nimeipenda idea yako ni nzuri sana kwenye kulikuza penzi lenu ......lakini anafaa kwa suprise soma mazingira kwanza usije ukashangazwa wewe ....

Hapo kwa red umenigusa Chauro
 
Hiyo imekaa njema mamito........ila una kipato??asije akaanza kukuuliza pesa umepata wap ndo ukawa mwanzo wa utata, kama uncho kitakachoverify value for money then endelea mama, very nyc suprise, mwongeze na jezi ya timu aipendayo ya mpira iloandkwa jna lake, orijino lakini sio mdosho
.............ngoja nimwambie na huyu huku anisuprise hivyohivyooooo!!!!

Umeniwahi super thinker maana ningeshangaa kama kuna mtu ambaye hataliona hili,kiukweli wanaume tunapenda sana kuwa surprised,lakini kale katabia ketu ka wivu huwa kapo palepale hivyo jitahidi sana surprise hiyo isizidi uwezo wako yakaanza maswali ya umetoa wapi?Kumbuka kuwa wanaume hata kama anakukabidhi pesa kila siku, siku utakapompatia kitu cha gharama na kama hajazoea basi aslimia kubwa huanza kufikiria kuwa kuna kijana anamsaidia kazi wakati hakuna ukweli wowote.Labda tu kwa kuongeza surprise wakati unamchukua toka kazini mwambie kabisa kuw leo ninakushangaza na tafuta kitambaa cha kumfunga machoni ili asijue mnaelekea wapi na umfungue pale mtakapokuwa mmeshakaa na huduma ipo mbele yenu..Nakutakia kila la kheri katika kudumisha ndoa yako
 
Last edited by a moderator:
Kwangu mimi ni YES! YES! YES! Ila angalizo: wakati wa mahanjumati mweleze kuhusu nia yako ya kulala naye hoteli na umpe jukumu la kununua chumba. Pia kama hayupo hapa JF na hajui kuhusu discussion hii ni vema zaidi. Otherwise so far so good.
 
Hiyo imekaa njema mamito........ila una kipato??asije akaanza kukuuliza pesa umepata wap ndo ukawa mwanzo wa utata, kama uncho kitakachoverify value for money then endelea mama, very nyc suprise, mwongeze na jezi ya timu aipendayo ya mpira iloandkwa jna lake, orijino lakini sio mdosho
.............ngoja nimwambie na huyu huku anisuprise hivyohivyooooo!!!!

Hii imekaa njema,kama mpenzi mpra atafurah sana.
 
Back
Top Bottom