Surprise!!!!!! Happy Birthday Mzee wa Upako Asprin

Surprise!!!!!! Happy Birthday Mzee wa Upako Asprin

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Mabestito kila jambo na wakati wake
na kila kitu hutokeaga kwa wakati wake
hakuna kitu kitakachopangwa wakati ujao kifanyike
leo, wala hakuna jambo ambalo litakuwa la maana
ulifanye wakati usio wake.

TAMBUA KUWA

Kuna wakati wa kupanda na wa kuvuna
Kuna wakati wa kusoma, kucheka na kulia
Na mara nyingi nyakati huwa hazijirudii hovyo
bali kila kusudio ulilopanga lipo kwa wakati wake


Kuna wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa
Kuna wakati wa furaha na wakati wa huzuni
Mara nyingi nyakati zipo kwa malengo fulani

Na kuna wakati wa kuona kiumbe kipya na
kukifurahia na kucheka nacho na kuna wakati
wa kulia wakati kikiondoka duniani. Mabestito
Leo tunakumbuka siku ama wakati maalum kwa
rafiki kipenzi chetu
MZEE WA UPAKO DR [COLOR=#0000ff [USER=9760]Asprin[/USER]
tarehe aliyotokea duniani kwa wakati wake maalum

Hivyo sina budi kumtakia kheri katika kumbukumbu hii
maalum yakuzaliwa kwake, Mungu ampe afya njema
aishi miaka mingi 100 ya utumishi wake wa kidaktari
Marafiki zangu mtakie ungana nami kumtakia heri best
wetu Asprin

pokea surprise ya vizawadi vidogovidogo

hp.jpg footbali.jpg



[/COLOR]
 
Last edited by a moderator:
happy birthday babu Asprin
nasemaje.............siamini kama tumeshea zodiac sign...........
gines zako za kutosha zipo kwa mzee clemeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Mabestito kila jambo na wakati wake
na kila kitu hutokeaga kwa wakati wake
hakuna kitu kitakachopangwa wakati ujao kifanyike
leo, wala hakuna jambo ambalo litakuwa la maana
ulifanye wakati usio wake.

TAMBUA KUWA

Kuna wakati wa kupanda na wa kuvuna
Kuna wakati wa kusoma, kucheka na kulia
Na mara nyingi nyakati huwa hazijirudii hovyo
bali kila kusudio ulilopanga lipo kwa wakati wake


Kuna wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa
Kuna wakati wa furaha na wakati wa huzuni
Mara nyingi nyakati zipo kwa malengo fulani

Na kuna wakati wa kuona kiumbe kipya na
kukifurahia na kucheka nacho na kuna wakati
wa kulia wakati kikiondoka duniani. Mabestito
Leo tunakumbuka siku ama wakati maalum kwa
rafiki kipenzi chetu
MZEE WA UPAKO DR [COLOR=#0000ff [B]Asprin[/B]
tarehe aliyotokea duniani kwa wakati wake maalum

Hivyo sina budi kumtakia kheri katika kumbukumbu hii
maalum yakuzaliwa kwake, Mungu ampe afya njema
aishi miaka mingi 100 ya utumishi wake wa kidaktari
Marafiki zangu mtakie ungana nami kumtakia heri best
wetu Asprin

pokea surprise ya vizawadi vidogovidogo

View attachment 133513 View attachment 133514



[/COLOR]
Am humbled.... Thanks bestito..........:msela::msela:

Hbd babu ODM
:majani7::majani7:

:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:

hongera ya kuzaliwa.....
:A S thumbs_up::A S thumbs_up:

Asprin
Pokea zawadi hii
ya kumbukumbu ya siku yako ya kuzaliwa
722652d1179844440-happy-birthday-whisky-cardhu_zz8_pakwheels-com-.jpg
:majani7::majani7::majani7:

happy day babu asprin
😛layball:😛layball:

many happy returns of the day to u Babu Aspirin
:hippie::hippie:


Happy birthday Asprin

Wishes from Chocs & Erickb52



​
:llama::llama:

Hongera kwa kuadhimisha siku yako ya kuzaliwa Babu Asprin
:hug::hug::hug:

happy birthday babu Asprin
nasemaje.............siamini kama tumeshea zodiac sign...........
gines zako za kutosha zipo kwa mzee clemeeeeee
:lalala::lalala::lalala:

nimekumiss jamani.wii wangu wa ukweli
:focus::focus::focus:


Woooote kwa mpigo, ahsanteni sana...... Zawadi bado zinaendelea kupokelewa.
Damn.......... kaburi lileeeeeee!!!
 
Back
Top Bottom