Sura ya pili ya waomba Msamaha kwa Rais itizamwe kwa jicho la tatu pevu. Nadhani Rais anahitaji kuwa makini zaidi

MJENGA

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
884
848
Nimefuatilia taarifa za January Makamba, William Ngereja na Nape Nnauye kumuomba msamaha Mheshimiwa Rais wetu. Nimetafakari kwa kina na kuja na tahadhari zifuatazo;

1. Rais asiwaamini haraka kwani inawezekana ni mkakati wa genge kufanya hivyo kufunika kombe na kuhadaa ili wapate nafasi nzuri ya kufanya retaliation bila kuwa na kikwazo.

2. Rais aongeze tahadhari kuliko wakati wowote, hao walioomba msamaha wakubwa wao hawajaomba msamaha hivyo msamaha wao haujapata mshindo thabiti wenye kushawishi udhati wake. Izingatiwe kuwa tunakwenda uchaguzini, yaweza kuwa wanaitaka nitoke vipi.

Ni kazi ya vyombo vyetu makini vya usalama kuidadavua tahadhari hii kwa kina kwa jicho la usalama, mi nimesema tu yale ninayoyatilia shaka.
 
There is more to it than what u hear or read. Kikwetu ni hivi, changanya na zako kama unavojenga hoja za tahadhari. Kamfano kadogo ni pamoja na VIDEO na TAMKO kihivi:
1: BODY LANGUAGE - Nape akichapa lami tokea lile lango opposite na hazina ... akafuta na kajsho .... n.k
2: SIMULIZI ... not exactly chronollogical, but ... HATA SMS saa nane usiku. Hapa yanatajwa pia majina ya bigshots alikopitia .... kuatafuta nafasi ya KUUNGAMA. Again, changanyana zako.

Jioni njema
 
Most of the wachangiaji hawajanielewa ninachomaanisha. Ni kwamba siamini kama maombi yao ya msamaha yametoka mioyoni mwao. Ninachokiona ni ulaghai ili wapate fursa nzuri ya kuaccomplish mission zao!.

Who gets to laugh last?
 
hao wameomba msamaha ili warudi kwenye vyeo.maisha ya uraiani hawayajui, huo ndo ukweli.nape, January Na ngeleja wamelelewa Na vigogo.maisha magumu ya watanzania hawayajui.viongozi wanaojua shurba halis Ni wa upinzani ndo maana wakishanunuliwa wanaona wameonja pepo...
Mkuu umemalizaa
 
Upande huu YULE MTAALAMU wa magoli (ya kuhamisha na mengineyo yote unayojua - KUMBE AWAMU FLANI)..... ... (na wenzie - walimu wa siasa jeshini, wasanii wabobezi ... WOTE!)
upande huu NEMBO YA JAMHURI. Nani mshamba hapo?
 
Back
Top Bottom