Sura mbili za wanawake

Sura mbili za wanawake

baloz89

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
1,228
Reaction score
1,815
Ndugu wana JF,

Ni matumaini yangu sote tuko vizuri, japo haiwezi kuwa asilimia zote. Kuna jambo napenda tulijadili katika hali ya kutafuta uelewa. Hivi wanawake ni nini hasa huwa wanataka wanaume tuwafanyie waridhike.

Maana imekuwa kero kwetu bila kujali kipato au tofauti yoyote. Economically usipokuwa vizuri basi ujue una asilimia nyingi za kuchapiwa kwa kisingizio cha kipato, upande mwingine ukiwa na kipato na kuwa busy kusaka pesa nako utachapiwa tena na mtu wa kawaida tu kwa kisingizio huna mda nae.

Biologically ukiwa mnene nouma vilevile ukiwa mithili ya akina Wizzy Khalifa nayo taabu physically, ukiwa na mtwangio wa haja nako taabu wanakukimbia na ukiwa na kibamia ndo utatangazwa kabisa. Sasa na ukiwa unapiga kazi haswa kunako 6*6 napo wanasema unakomoa na ukiwa unapiga kidogo wanasema unawachafua.

Sasa kwa hayo machache hawa wanawake tuwape nini ili mridhike.
 
Usihangaike na wanawake wengi maana utakufa bado mdogo, tafuta size yako usifate size za wenzako...we unajua kabisa huyu si wa baiskeli we unamfata wa nini? unajua huyu humuwezi unamfata wa nini? unajua una muwa unataka rambo la nini? kila mtu na mtu wake, ukimpata wa size yako utakula bata, ukimpata wa mwenzako utaliwa bata..penda kwa moyo na akili, usipende kwa moyo peke ake Broh...
 
The day utakayo acha kujiuliza nini wanawake wanataka
na kuanza kujiuliza nini wewe unataka na mwanamke yupi atakufaa
ndio siku utakayokuwa huru.....

wa namna hio wapo kwel mkuu
 
Ukweli mwanamke hajuagi nini anachotaka. Ni shawahi kuuliza wanawake kadhaa kwa nini hamueleweki, wengi walinijibu wala hata siyo mwanaume, mara nyingine inabidi mwanaume atumie akili ya kufosi kwa sababu wao hawajui wanachotaka.
 
yan siku izi hakuna mwanaume anae relax ktk mahusiano..kote balaa tu no matter who/what you have
 
Kila mwanamke na mapenzi yake hawawezi kufanana wote wala wahawezi kupenda kitu kimoja wote. Kama wanaume vile mlivo wengine wanapenda mademu wanene, wengine wembamba wengine wafupi wengine warefu. We tafuta anaekufaa maisha yaendelee.
 
Ukweli mwanamke hajuagi nini anachotaka. Ni shawahi kuuliza wanawake kadhaa kwa nini hamueleweki, wengi walinijibu wala hata siyo mwanaume, mara nyingine inabidi mwanaume atumie akili ya kufosi kwa sababu wao hawajui wanachotaka.

Sie hatujaumbwa mtuelewe bali kupendwa tu hivyohivyo tulivyo na nyie tuwaheshimu
 
Wanawake ni viumbe wasioeleweka na wasiojoelewa,usiumize kichwa mkuu.
Ukiwapata gonga na achana nae,hawana true love.
_wao mapenzi umridhishe yeye, ufanye kila kitu yeye aridhike wewe no.
If you get them,*** and leave,that is the only way to do.
 
Usihangaike na wanawake wengi maana utakufa bado mdogo, tafuta size yako usifate size za wenzako...we unajua kabisa huyu si wa baiskeli we unamfata wa nini? unajua huyu humuwezi unamfata wa nini? unajua una muwa unataka rambo la nini? kila mtu na mtu wake, ukimpata wa size yako utakula bata, ukimpata wa mwenzako utaliwa bata..penda kwa moyo na akili, usipende kwa moyo peke ake Broh...

Umemaliza yote Mkuu kama hajakuelewa basi tena.
 
Tunahitaji mapenz ya kweli maana hata kama dushe ikiwa kubwa sana taratibu tunazoea mpaka mwisho wa siku tunaifurahi na kuiona ya kawaida
 
Maswali yako mengi sn. That doesn't happen always n not automatic. It happens to just few individuals who. It is vr unfortunate if that ever happened to u. Majority we real enjoy our relations coz we fit perfectly!
Probably u have a wrong choice in ur hand
 
Binamu lazima nursery school uliipigia kama sio Birmingham basi itakuwa London.
 
Maswali yako mengi sn. That doesn't happen always n not automatic. It happens to just few individuals who. It is vr unfortunate if that ever happened to u. Majority we real enjoy our relations coz we fit perfectly!
Probably u have a wrong choice in ur hand

aint sure of this..however i gota work on ua view to c wat hapen
 
Ukweli mwanamke hajuagi nini anachotaka. Ni shawahi kuuliza wanawake kadhaa kwa nini hamueleweki, wengi walinijibu wala hata siyo mwanaume, mara nyingine inabidi mwanaume atumie akili ya kufosi kwa sababu wao hawajui wanachotaka.
Hata wanaume huwa hawajui wanachotaka.
 
nimewaza hivi ningekua natumia muda wangu kutaka kuwaelewa wanaume ningekuwa kichaa kwa sasa.
muhimu ni kujielewa wewe unachohitaji basi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom