Sura halisi ya marehemu Kinyambe

R.i.p. jamani msijisahau sana kifo kipo ooohhh
 
We si umewambia wenzio wapenda ujinga sa unataka clip ya nini..usiwe unajikweza wakati na wewe ni apecha alolo
Ah Wengine hupata umaarufu wakisha ndei... so ndio nimetaka kumtathimini tu...
 
nimefurah sana kumuona sura yake og nlikua namkubali sana mshikaji RIP kinyambe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…