Supu ya pweza na uwezo wa kimapenzi

guys rmbr kuna hiv and kufa,jukumu la dhambi kwa mungu.kama vp tafuteni wake!cyo uzunifu 2 kila cku.
 
Supu ya pweza sawa, lakini nakushauri kaanga mbegu za maboga na uwe unatafuna kila siku, pia kula ubuyu kwa wingi hapo kaka jogoo mpaka miaka 90 anawika tu kokolikooooo, welaaaaa!

yaani hapo urithi wa babu hadi kwa vitukuu , vilembwe na vining'ina n.k

Nitajaribu weekend nikiwa na msuli. Maumivu niliyopata kwa pweza, situmii booster nikiwa na suruali.
 
Andika kiswahili kizuri bwana...kumtaja MUNGU anza na herufi kubwa na si uzunifu ni UZINIFU

Nakubaliana na wewe nziriye hasa katika hilo jina la Mungu.. Ni vema kuanza na herufi kubwa au kuandika herufi kubwa zote na si vinginevyo..!
 
Ni maeneo ya Tabata Ijumaa jioni jana, meeting with four old friends. Sasa wakaniconvice tukale Pweza. . I

have never taken it! Dah kwenye hicho kijibanda muuzaji kakata vijipande vidogovidogo, sh 100! Only men

were coming, anadondosha pesa zake anakula pweza wake na supu anachapamwendo!Sasa kuja kuuliza

naambiwa pweza, hasa supu yake ni muhimu sana kwa kuongeza nguvu za kiume! Tena nikaonywa kama sina

mwanamke nisijaribu kula though kwa jana sijaona effect yeyote kwa kweli! Inawezekana mada hii

imeshaletwa hapa but wadau hebu tuambiane, hii mambo inakuwaje? Na mtu anapozungumzia nguvu za

kiume anamaanisha nini hasa? Poweful erection? Sperm Count? Ability to do for a long time bila kuchoka?

Uwezo wa ku impregnant a woman? what does it mean? Tusaidiane wakuu! Nawakilisha.

sijui kama inaukweli wowote lakini mie binafsi nampenda pweza,mtamu na ugali na Urojo na Muhogo ndio mmmmmmmm! hayo ya nguvu zakiume labda uwe una kula mara kwa mara,babu yangu alikua anapenda sana supu ya pweza na alikua ana wake wa3 sasa sijui ilikua inamsaidiaje,lakini kwa upande wangu sijui kama nikweli...
 
Na unapokula hupati tofauti yeyote? Maana wanasema ukila sana unalazimika kupata mwanamke chapchap
 
Ni maeneo ya Tabata Ijumaa jioni jana, meeting with four old friends. Sasa wakaniconvice tukale Pweza. . I

have never taken it! Dah kwenye hicho kijibanda muuzaji kakata vijipande vidogovidogo, sh 100! Only men

were coming, anadondosha pesa zake anakula pweza wake na supu anachapamwendo!Sasa kuja kuuliza

naambiwa pweza, hasa supu yake ni muhimu sana kwa kuongeza nguvu za kiume! Tena nikaonywa kama sina

mwanamke nisijaribu kula though kwa jana sijaona effect yeyote kwa kweli! Inawezekana mada hii

imeshaletwa hapa but wadau hebu tuambiane, hii mambo inakuwaje? Na mtu anapozungumzia nguvu za

kiume anamaanisha nini hasa? Poweful erection? Sperm Count? Ability to do for a long time bila kuchoka?

Uwezo wa ku impregnant a woman? what does it mean? Tusaidiane wakuu! Nawakilisha.

Mkubwa na magonjwa ya zinaa yalivyosambaa nashangaa watu wataitaji kuongeza nguvu za kiume!
Pia nawashangaa wanaotaka kuongeza uume wao pia! Si ni kunizidisha chances za michibuko wakati wa tendo la ndoa?!
Ila everyone has got their own type cup of tea!
Who are we to argue?!
 
Well said, every one has his/her own taste!
 
Back
Top Bottom