arabianfalcon
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,285
- 584
Na unapokula hupati tofauti yeyote? Maana wanasema ukila sana unalazimika kupata mwanamke chapchap
Mie Mwanamke, sasa sijui kwa wanaume, mie naona sawa2 au niseme siweki hiyo kwenye akili yangu kua nakula nipate nguvu ya .......kwetu pweza kila week hakosekani tuna kula kama kitoweo sio kama dawa,lakini ntamuliza Babu..