CABANA
JF-Expert Member
- Feb 6, 2013
- 418
- 546
Habari zenu wanajamii? Kwa wale wenye kujua juu ya hiyo supu ya pweza ambayo ni maarufu sana mikoa ya pwani hasa Dsm.Inasemekana inaongeza ari na nguvu wakati wa tendo la ngono, je kuna ukweli wowote na kwanini basi pweza wasiwe suluhisho la tatizo la nguvu za kiume?