Supu ya pweza maarufu kama respect.

CABANA

JF-Expert Member
Feb 6, 2013
418
546
Habari zenu wanajamii? Kwa wale wenye kujua juu ya hiyo supu ya pweza ambayo ni maarufu sana mikoa ya pwani hasa Dsm.Inasemekana inaongeza ari na nguvu wakati wa tendo la ngono, je kuna ukweli wowote na kwanini basi pweza wasiwe suluhisho la tatizo la nguvu za kiume?
 
wewe nini maoni yako katika hilo? je usha jaribu ukaona? au unataka ujue ndo ukajaribu? Ntakujibu baadae kidogo ngoja nimalizie hii supu ya pweza isije powa.
 
Ipo pale maeneo ya fire! Siiwezi kulingana na mazingira yalivyo, natamani niandae mwenyewe nyumbani.
 
aaa kwa hiyo namimi nikiinywa itaniongeza ari na nguvu kungonoka?
Aaaaaaa twafadhali jamani mtasababisha watu watoke vipichu mkononi
 
supu ya pweza si lolote , pata kitu inaitwa bunga toka congo acha kabisa yaani ukiingia kunako mechi ni mnazi mnazi mwanzo mwisho bila madhara wala maumivu na kwa ile style ya kufikia orgasm ndiyo yenyewe ni PM tu
 
Bunga toka congo
 
ungesema tendo la ndoa, ningejaribu kukuelimisha lakini umezungumzia ngono kwa maana uzinzi....sitaweza!
 
wewe nini maoni yako katika hilo? je usha jaribu ukaona? au unataka ujue ndo ukajaribu? Ntakujibu baadae kidogo ngoja nimalizie hii supu ya pweza isije powa.

Supu ya pweza bado inanywewa,tube jibu au hadi
match ikachezwe ndo utatuletea feedback!!!!!
 
sie wengine twainyea kiafya, and seafood lovers, mtatusababishia tuone aibu kuagiza supu hiyo maarufu(octopus) pale samakisamaki-mlimani city
 
Bunga toka congo
yaaah ni unga fulani hivi ambao unatengenezwa kwa miti shamba sasa wakongo wanaita bunga , kwa mujibu wa lafudhi yao ukiwa nayo ujazo wa kifuniko cha soda ni nyingi sana mwaka mzima unatumia, ila hizi zingine naona kama uzushi tu na zina madhara makubwa yaani usipokuwa nayo na charge nayo kwishney ila hii ni kama tiba
 
Habari zenu wanajamii? Kwa wale wenye kujua juu ya hiyo supu ya pweza ambayo ni maarufu sana mikoa ya pwani hasa Dsm.Inasemekana inaongeza ari na nguvu wakati wa tendo la ngono, je kuna ukweli wowote na kwanini basi pweza wasiwe suluhisho la tatizo la nguvu za kiume?

ni kweli, ukiijumlishia na nyagi siku hiyo utakuwa CNN....
 
By CABANA<br />

<br />
<br />
ni kweli, ukiijumlishia na nyagi siku hiyo utakuwa CNN....

Hizi zote ni kama min kabang zinaishaga fasta no effects...ila kuna vitu kutoka huko congo nasikia balaa usinywe ukamfanya mkeo au wife mtarajiwa atakukimbia aisee....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom