Suprise!

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
Katika maisha suprise ni mojawapo ya jambo ambalo mtu hulifanya mara nyingi kwa yule ampendaye. Katika kuonesha kuwa unampenda mama/baba yako mara moja moja unapaswa kum-suprise

Chukua simu yako (kama baba/mama yako naye anasimu, au mfate ana kwa ana kisha mtumie ujumbe ufuatao kum-suprise

"Baba/Mama usiringe mimi kuwa mwanao kwani ungechelewa kidogo tu ungekuwa mwanangu"
 
Kuna kuzi mmoja alimwambia mama yake kitu sampuli hii, baada ya siku 4 tulimshusha maza futi 6 chini. Suprise nyingine ni kwikwi arifu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom