Suprise iliyobeba maumivu yangu

Suprise iliyobeba maumivu yangu

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,198
Sijawahi kutegemea kama ipo siku ningefanyiwa suprise kama hii inshort is hurt inauma sana.

Asee kuna msichana fulani nilikuwa na mahusiano naye nilimpenda sana ila ndo hivyo kigeto geto si mnajua maisha yalivyo.

Alafu msichana ndio kwanza alikuwa kidato cha sita basi mipango kibao akimaliza pepa tu mwenyewe anataka nichukue jiko nimuweke ndani ila kikwazo ilikuwa mimi bhana ukicheki nilikuwa sijaseti mipango yangu fresh.

Basi mzee mwenyewe msichana alivyomaliza pepa alikuwa anasimamia msimamo wake eti nimuoe basi mtoto wa kiume nilikuwa nampa sound tu atulie tulie niweke mambo sawa maana usawa wenyewe wa magu uuh isije siku tukalala njaa na ukicheki ata hela ya posa yenyewe sina.

Basi dogo alionyesha kama kukubali flani hivi zile sound zangu kumbe moyoni ana yake .

Da ile Juzi kati sasa kidume nimeingia facebook niperuzi kidogo nikakuta mtoto kapost picha akiwa na shela juu alafu stutus za kumshukuru Mungu kwa sana kwa kupata mume.

Kiukweli nilistuka niliona labda ni utani ile kumpandia hewani si akaniambia ndio yuko fungate na bwana yake so nisimsumbue tena nimuache na ndoa yake.

Nimeumia sana na siyo kwamba sikuwa na malengo nae ila usawa ndio ulikuwa unakaba ningekuwa na pesa basi ningemuoa kipenzi changu ameniacha na maumivu ya moyo.

Ni bora angesema kuliko kunifanyia suprise kama hiyo, suprise ya kuniumizia moyo wangu, suprise iliyoijaza machozi machoni pangu hakika ni maumivu yasiyovumilika.

Lakini mwisho wa yote namtakia ndoa njema yenye amani lakini akae akijua kwamba kila tone la chozi langu limejaa maumivu makali sana yanayotoka moyoni.

....... itanichukua muda kusahau.
 
Pole asee ndo ivyo. Fikilia vyuma vimekaza usifikilie mapenz. Pambana na hali tuu kwa sasa.
 
Kiukweli mkui sasa nina hali mpya,Nguvu mpya na kasi mpya ya kusaka pesa wish day tu.........!
 
Pole sana maisha lazima yasonge haijalishi umepata maumiv kiasi gani na vile tumeumbiwa kusahau utasahau utapenda tena
 
Sijawahi kutegemea kama ipo siku ningefanyiwa suprise kama hii inshort is hurt inauma sana.

Asee kuna msichana fulani nilikuwa na mahusiano naye nilimpenda sana ila ndo hivyo kigeto geto si mnajua maisha yalivyo.

Alafu msichana ndio kwanza alikuwa kidato cha sita basi mipango kibao akimaliza pepa tu mwenyewe anataka nichukue jiko nimuweke ndani ila kikwazo ilikuwa mimi bhana ukicheki nilikuwa sijaseti mipango yangu fresh.

Basi mzee mwenyewe msichana alivyomaliza pepa alikuwa anasimamia msimamo wake eti nimuoe basi mtoto wa kiume nilikuwa nampa sound tu atulie tulie niweke mambo sawa maana usawa wenyewe wa magu uuh isije siku tukalala njaa na ukicheki ata hela ya posa yenyewe sina.

Basi dogo alionyesha kama kukubali flani hivi zile sound zangu kumbe moyoni ana yake .

Da ile Juzi kati sasa kidume nimeingia facebook niperuzi kidogo nikakuta mtoto kapost picha akiwa na shela juu alafu stutus za kumshukuru Mungu kwa sana kwa kupata mume.

Kiukweli nilistuka niliona labda ni utani ile kumpandia hewani si akaniambia ndio yuko fungate na bwana yake so nisimsumbue tena nimuache na ndoa yake.

Nimeumia sana na siyo kwamba sikuwa na malengo nae ila usawa ndio ulikuwa unakaba ningekuwa na pesa basi ningemuoa kipenzi changu ameniacha na maumivu ya moyo.

Ni bora angesema kuliko kunifanyia suprise kama hiyo, suprise ya kuniumizia moyo wangu, suprise iliyoijaza machozi machoni pangu hakika ni maumivu yasiyovumilika.

Lakini mwisho wa yote namtakia ndoa njema yenye amani lakini akae akijua kwamba kila tone la chozi langu limejaa maumivu makali sana yanayotoka moyoni.

....... itanichukua muda kusahau.
Kwasasa achana kumuwaza wewe tafuta demu mpya ambae ni pesa.
 
pole!usikimbilie kuoa ! yaan hujajipanga afu unataka uwah kuoa ili iweje?? LIKUEPUKALO...
 
Pole sana kijana ila naomba nikwambie kitu Huyo mpenz wako alikuwa ana kusaliti mapema bila wewe kujua na huo mpango wa yeye kuolewa na huyo jamaa ulikuepo pasipo wewe kujua

Nawaza kwamba inawezekana alijua kabsa kws Sasa huna ubavu wa kumuoa hivyo akatumia hiyo njia kukukimbia.

Kumbuka kuwa ndoa ni mpango wa muda mrefu wenye mikakati mingi ndani yake pamoja na hatua muhimu kama kutoa posa na mengine mengi hivyo tambua dhahili kuwa Kipindi mko kwenye relationship yeye alikuwa mguu mmoja ndani mwingine nje okay wewe ulisahau kuweka wako mmoja nje

Kiukwel inaumiza sana I can imagine unavyo umia now but katika mahusiano don't trust a woman hata kidgo hiyo ndio siraha pekee ya kukuepusha na maumivu ya kijinga kama haya

Mungu akutangulie katika safari ya maamzi mapya but be careful
 
Huyo atatumia ndoa kama sehem ya kuficha maovu yake mkuu mshukuru Mungu,huyo sio mwanamke na shukuru imetokea kabla hujamuoa maana kama ungeoa bas huyo aliemuoa ndo angekua mchepuko
 
Pole sana kijana ila naomba nikwambie kitu Huyo mpenz wako alikuwa ana kusaliti mapema bila wewe kujua na huo mpango wa yeye kuolewa na huyo jamaa ulikuepo pasipo wewe kujua

Nawaza kwamba inawezekana alijua kabsa kws Sasa huna ubavu wa kumuoa hivyo akatumia hiyo njia kukukimbia.

Kumbuka kuwa ndoa ni mpango wa muda mrefu wenye mikakati mingi ndani yake pamoja na hatua muhimu kama kutoa posa na mengine mengi hivyo tambua dhahili kuwa Kipindi mko kwenye relationship yeye alikuwa mguu mmoja ndani mwingine nje okay wewe ulisahau kuweka wako mmoja nje

Kiukwel inaumiza sana I can imagine unavyo umia now but katika mahusiano don't trust a woman hata kidgo hiyo ndio siraha pekee ya kukuepusha na maumivu ya kijinga kama haya

Mungu akutangulie katika safari ya maamzi mapya but be careful
kweli mkuu sikulitambua hilo mapema lahiti kama ningejua basi ningefanya ninavyojua mimi
 
pole!usikimbilie kuoa ! yaan hujajipanga afu unataka uwah kuoa ili iweje?? LIKUEPUKALO...
Na ndio maana sikutaka kujitwika mzigo mapema mkuu maana usawa wenyewe huu si wa mchezo.
 
Back
Top Bottom