Supreme Court ya Marekani ina picha ya Mtume Mohammed....................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Supreme Court ya Marekani ina picha ya Mtume Mohammed.......................

Discussion in 'International Forum' started by Rutashubanyuma, Dec 24, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,955
  Likes Received: 420,622
  Trophy Points: 280
  Lengo nimeshangazwa na kipindi cha CNN cha Wolf Blitzer...kiitwacho Situation Room.....na katika vinjari zao za jengo la Supreme koti ya Marekani kumbe kuna picha ya Mtume Mohammed...............

  Nijuavyo mimi ni marufuku kuwa na picha hiyo......................sijui kama ni ya kweli au ni ya kuigiza.............wenye habari zaidi watujuze.....................

  Vilevile ningependa kufahamu kwa nini hakuna maandamano ya kupinga picha hiyo kuwepo au ni kwa vile hakuna ajuaye juu ya hilo?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,955
  Likes Received: 420,622
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,955
  Likes Received: 420,622
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  - that place is inpenetrable
  -hata hivyo mbona hiyo picha/sanamu ni ya mzungu tu, au inaonekana kuwa ni ya mohamad kwa kuwa ameshika panga/jambia?
  -and who knows mohamad's face today?
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,955
  Likes Received: 420,622
  Trophy Points: 280
  Yaani you are very observant........................anaonekana kama mzungu au labda waarabu wa enzi hizo ndivyo walivyokuwa?

  Kubwa zaidi ni kwa nini hakuna maandamano ya kupinga hilo kama yale ya picha za katuni kule Sweden..................au hawajui wakereketwa?
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,955
  Likes Received: 420,622
  Trophy Points: 280
  Bi question.............and who knew the face of Moses the Prophet?

  Wanahistoria tusaidieni hapo....................tumeelemewa na maswali magumu hayo..............
   
 7. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Walishapinga iondelowe lakini nadhani kuna vitu wa-US hawatawavumilia ikiwemo kutaka kutoa hiyo pic!
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160

  ndiyo maana ninapomwomba Mungu huwa nafumba macho ili nisimlinganishe na vinyago au vitu vilivyo mbele yangu, as he is invinsible Almighty God.
   
 9. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwani mtume hakuwa mwanadamu? kama alizaliwa kwa kupitia mwanamke na mwanamme, picha yake itakuwepo si unajua mambo ya genetic watu wa ukoo mmoja kufanana. kwani huko Iraq sehemu moja inaitwa Najaf' jamaa zake na Mtume wapo kibao,mmojawapo ni mshirika katika serikali iliyoundwa na Kati ya Iyad Alawi, Nour Al Mark anaitwa Muqtadar Al Sadir Kiongozi wa Mahdi Army .
   
 10. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #10
  Dec 24, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Acha uongo wewe. Nikikwambia mimi nimewahi kumuona mungu utakataa?. Hakuna sehemu hata moja inayoweza kuthibitisha uhusiano wa mtu aliyekuwepo 1432 years ago na aliyepo leo hizi zote ni speculations zisizo na uthibitisho. Hiyo Sanamu hapo SC ni usanii wa mtu tu kama mtu anavyoweza kuchora picha akaiita madenge.
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160

  Mohamad hakuwa na mtoto wa kiume. hiyo genetic inayomlink naye inatoka wapi, hata hivyo uhusiano wa kigenetic wa zaidi ya miaka 1400 kweli una-exist scientifically and how do you trace it?

  read Below

  Muhammad was known for a calm, deliberate, judicious temperament in all his decisions, and skill as a diplomat. Yet, underneath, he had a nervous and anxious longing for something much more than could normally be attained. His inner restlessness was in fact so severe, that he reputedly had nervous breakdowns. He was outwardly successful and respected, but inwardly restless, unhappy, and anxious.
  One of the main sources of his unhappiness was that he had no male heir. This was a disgrace for all Semitic people, including Arabs. The Arab epithet for a man who had no male heir was "abtar." This means something like "castrated" or "emasculated."
   
 12. Braniac

  Braniac Senior Member

  #12
  Dec 24, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Where did you get this crap?
   
 13. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #13
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  I got this crap in one of the crap documents HERE


  it is indeed a crap so is all religion are craps as they are made by people, as God is not religious but full of love to every creature s/he created.

  Ask yourself, kuna kitu fulani kimoja wabudha wanacho wanakitumia katika ibada zao kina fundo kubwa kwa chini sijui wanakiitaje, lakini waislamu wanakiita tasbihi, wakatoliki wamekifunga msalaba wanakiita rozari. DO YOU SEE SIMILARITY?

  SOME CONCLUDE THAT whoever created Budhism, is the one who created Catholicism and later when weather changed he created Islam.

  Just like from westphalia, to world war I, The League of Nations, to World war II, to UN, to Cold War and now is Terrorist. And we re forced to dance in the figments of their immaginations.
  So is the one who created religion.

  Don't you see how religion is indeed a crap? manmade organisations na wanadanganya kuwa they belong to God as they know we are ropi dops who can not and dont know to reason.
   
 14. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #14
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Katika masuala ya genetic miaka 2000 ni kama jana. Watu wameweza kujua genetic ya jurassic era na kutengeneza tomography ya viumbe waliokuwepo from scratch. Tatizo lipo katika kupata DNA isiyokuwa contaminated unapo-refer miaka mamilion. Kwa hiyo hata kama Mohamed hakuwa na mtoto wa kiume DNA yake ilikuwa passed kwa watoto wake wa kike. Kumbuka ni mayai mawili yaliyopatikana kwa meiosis yanaungana (50% 50%). Kukwepa sayansi hapa niseme tu tena miaka hata 10,000 ni kama jana tu...Angalia hapa huyu sea monster alivyokuwa mtawala enzi za jurassic

  BBC News - CT scan for colossal sea monster
   
 15. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #15
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Tafadhali jina la Raasul'laah linaandikwa kwa ufasaha " Muhammad s.a.w" mmoja wa watoto wake wa kiume aliitwa Qassim !
  Mara zote mmekua mkitaka kuingia kuogelea katika bahari kubwa msioijuwa mwanzo wala mwisho ! kazi yenu ni kuleta Thread zisizo na mashiko na kuleta mitundiko (posts) yenye maelezo ya vijiweni ! hovyooo!

   
 16. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #16
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  " Masanamu, alama kama misalaba, mapicha na vitu vinavyo fanana na hivyo ni urithi wa makafiri si umeona jengo lilivyo sheheni mastatue !
  Hakika hayo madude yako mahali panapostahili, hata Yesu (Issah) ambaye mmemtundika kila mahali sie yule aliekua akieneza Injil. Ni mambo ya kupanga ya makafiri.
  Kisa kimoja cha Nabii Ibrahim alipokuta ndugu zake wamechachamaa kuabudu masanamu, siku moja alitoka na shoka na kuyafunja funja yote kasoro moja tu, kubwa lao ! akchukua shoka akalibebesha kubwa lao. Wenyewe walipokuja kuabudu wakakuta waungu wameuawa ! wakamfuata Nabii Ibrahim na kumuuliza kuwa pametokea nini ? mbona amevunja masanamu yao ? Yeye akawaambia muulizeni huyo mkubwa mwenye shoka begani! Wakasema haiwezekani bwana ni wewe tu !
  Kumbe hata wao walikua wanajua katika masanamu (mapicha) hamna kitu! HIVYO SISI HATUNA HAJA YA MAANDAMANO, SIKU MOJA KUBWA LAO LITAYAFUNJA FUNJA YOTE!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #17
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Na wanapoambiwa msifanye uharibifu ulimwenguni, ' wao husema ''sisi ndio watengenezaji''
  Hakika wao ndio waharibifu, lakini hawatambui.
  Na wanapoambiwa: "Aminini kama walivyoamini watu kabla yenu" wao husema: "ooh! Tuamini kama walivyoamini wale wapumbavu?" Hakika wao ndio wapumbavu lakini hawajui. Quran: Baqara 11:13
   
Loading...