magufuliforpresident
Senior Member
- Aug 18, 2015
- 159
- 59
- Thread starter
- #41
he is very dynamic, lakini, poleni wakiwa kwisha habar yenu kabisa
Mhhh hii hoja mpya...inafikirisha, jambo ambalo watanzania wengi hawalipendi ingawa inawalazimu kulifanya.
Kumbe CCM walishaingia mkataba na Prof Lipumba ili awauzie CUF., kisha Mbowe akaja kutibua Dili kwa kumuuzia CHADEMA, CUF, NLD, NCCR - Mageuzi kwa wakati mmoja kwa mwanaCCM wa zamani na swahiba wa karibu wa Jakaya Ndugu Edward Ngoyai.
Kama sio U-geniuos wa Mbowe leo UPINZANI wote usingelikuwa chini ya MwanaCCM kindakindaki..
Kumbe na Lowassa ni mwana familia?Hiki chama kilianzishwa kwa maslahi ya familia fulani, ukiona mtu anafukuzwa kwenye chama hicho ujue alienda kinyume na matakwa ya wenye chama chao.
Habari ndiyo hiyo, nyie shangilieni tu mkidhani ni chama cha ukombozi kumbe ni chama cha tumbo la familia
Ccm walichukua form tu ila sio wote 42 walipewa nafasi ya kunadi Sera zao
Kama hamtataka mabadiliko kupitia CCM, mtapata maendeleo ya ufisadi ndani ya CHADEMA, sababu CHADEMA ya sasa imekuwa ni kichaka cha kujifichia watu waovu, waongo na wanafiki.Huna jipya hapa ni chadema/ukawa kwenda mbele kwa sana tu hakuna nakna nyingine ni mabadiliko nje ya ccm
wewe akili zako unafikiria vipi??mbowe lazima aumbuke na kuacha siasa za maji taka....huo ndio mwisho wako wa kufikiri.
Halmashauri ya akili yako haina akili.
![]()
SUPPRESSION OF DISSENT occurs when an individual who is more powerful than another tries to directly or indirectly censor, persecute or otherwise oppress the other party, rather than engage with and constructively respond to or accommodate the other party's arguments or viewpoint. When dissent is perceived as a threat, action may be taken to prevent continuing dissent or penalize dissents.
Tafsir ya maneno ya hapo juu ni hii;
UKANDAMIZAJI WA UPINZANI hutokea wakati mtu ambaye ana nguvu zaidi ya wenzie anapojaribu moja kwa moja ama kwa namna yeyote ile kuwadhibiti, kuwatesa au kuwaonea wengine, badala ya kushirikiana/kujihusisha nao katika kuboresha ama kujibu hoja au mitazamo ya wenzake hao. Jambo hili hufanyika ikiwa huyu mmoja anaona wale wengine ni tishio, huchukua hatua za kuwazuia wenzake ama kuwashurutisha na kuwaondoa.
KUTOKANA na picha ya hapo juu;
Kutoka kulia;
Hamad Mussa Yusuph (mwenye kombati nyeusi "Msaliti") - Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA znz ambaye kwa sasa ni mgombea mwenza wa ACT Wazalendo.
Aikaeli Freeman Mbowe (SHUJAA) - M/kiti wa CHADEMA wa wakati huo na wa sasa.
Wa katikati, Peter Wilbrord Slaa (Msaliti) - Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, kwa sasa ni Mwanaharakati asiye na chama.
Mwenye fulana ya M4C, Said Arfi (Msaliti) - Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara ambaye kwa sasa ni Mwanachama wa CCM.
Wa mwisho aliyevaa Kombati, Zubeir Zitto Kabwe (Msaliti) - Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo.
Shujaa ni yule anaesimamia ukweli na misingi aliojiwekea since day one. mbowe msingi wake Disco maana halijawahi kuvunjwa au kuhamishwa maeneo...hahahahha....well done wapinzani....mmenyoosha njia kwa CCM kuingia ikulu..CCM OYEEEEEEEEEEE
Kwa hali hii UKAWA wamepoteza dira hali ya kuwa wapo bahari ya kina kirefu, hakuna kingine bali watazama tu au wapotee kule wanakoelekea. Mpaka sasa sijaona kiongozi mwenye utashi wa kuwa kiongozi kwa dhati yake mwenyewe bila ya msukumo wa mtu yeyote, isipokuwa ni uchu tu ambao utawanufaisha baadhi waliopo nyuma yao na kuididimiza nchi
Mbowe anasifa moja kuu.. hana price Tag! Lowassa mwenyewe alikuwa anashangaa inakuwaje Mbowe anaandaa kila kitu bila kumwambia achangie hata cent tofauti na manzi ya CCM yaliyokuwa yanamchuna kila siku.... Lowassa ana nenepa baada ya kuona Mbowe anarusha Chopper 4 kwenye Kampeni ... UKAWA wanashambulia kila kona ... Mbowe ni zaidi ya Genius ... Ukwasi wake umewapa maisha wasaliti wote! Slaa anasema kuwa alikuwa na maisha Duni Mbowe akamnyanyua juu akamjengea hadi nyumba... ZZK aliwahi kulalama eti Mbowe asimsimange nyumbani kwakwe pamoja na kuwa alimfundisha siasa akambeba kama mwanae ... anyway fadhila mfadhili Mbuzi lakini si hawa social climber wenye kuhongwa fedha za ESCROW ...
![]()
SUPPRESSION OF DISSENT occurs when an individual who is more powerful than another tries to directly or indirectly censor, persecute or otherwise oppress the other party, rather than engage with and constructively respond to or accommodate the other party's arguments or viewpoint. When dissent is perceived as a threat, action may be taken to prevent continuing dissent or penalize dissents.
Tafsir ya maneno ya hapo juu ni hii;
UKANDAMIZAJI WA UPINZANI hutokea wakati mtu ambaye ana nguvu zaidi ya wenzie anapojaribu moja kwa moja ama kwa namna yeyote ile kuwadhibiti, kuwatesa au kuwaonea wengine, badala ya kushirikiana/kujihusisha nao katika kuboresha ama kujibu hoja au mitazamo ya wenzake hao. Jambo hili hufanyika ikiwa huyu mmoja anaona wale wengine ni tishio, huchukua hatua za kuwazuia wenzake ama kuwashurutisha na kuwaondoa.
KUTOKANA na picha ya hapo juu;
Kutoka kulia;
Hamad Mussa Yusuph (mwenye kombati nyeusi "Msaliti") - Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA znz ambaye kwa sasa ni mgombea mwenza wa ACT Wazalendo.
Aikaeli Freeman Mbowe (SHUJAA) - M/kiti wa CHADEMA wa wakati huo na wa sasa.
Wa katikati, Peter Wilbrord Slaa (Msaliti) - Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, kwa sasa ni Mwanaharakati asiye na chama.
Mwenye fulana ya M4C, Said Arfi (Msaliti) - Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara ambaye kwa sasa ni Mwanachama wa CCM.
Wa mwisho aliyevaa Kombati, Zubeir Zitto Kabwe (Msaliti) - Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo.
Kuna tatizo gani endapo watu wanaondoka meneja anabaki lakini taasisi inakua kwa kasi ya ajabu? Wenye matatizo ni hao wanaoondoka na si meneja vinginevyo taasisi ingeshaanguka zamani.Do you believe in tyranny and high churn?
Kama Mbowe angekuwa meneja wa sehemu ambayo key people wanaondoka hivyo, ingebidi aulizwe sana kuhusu management yake.
Inawezekana yeye ndiye mwenye tatizo.