Suppression of Dissent; Mbowe ni Shujaa

Suppression of Dissent; Mbowe ni Shujaa

Dereva boda boda anapo niambia hivi namuunga mkono 100% na nayaheshimu mawazo lakini na msomi?
"Awe mwizi awe fisadi ntampigia kura tu "
Lakini msomi kabisa uchukue nchi yako umpe MTU ambaye unamuita mwizi na fisadi na hapo hapo utegemee mabadiliko? Mimi nadhani msomi huyo kwanza atakuwa hajui key ya mabadiliko ni nini ? Hapana hapana hapana
Hivi na Mimi kabisa nichukue nchi yangu nimpe MTU ambaye mshamtilia mashaka nyie wenyewe na mnasema Kama mwizi mwizi .hivi tumekosa kabisa mpaka tuamue wenyewe nchi yetu kumkabidhi mwizi? Basi huo wimbo mabadiliko tuondoe kabisa hauna maana hapo .Dunia ikitusikia kwanza itatushangaa watanzania wote.
Tukatafuteni namna bora yenye ushawishi sio hiyo hapana hapana
Ikulu sio mahala pa walanguzi .

Na mwizi ni mwizi tu
 
  • Thanks
Reactions: nao

Na wewe ni msomi?
 
[h=3]Kama hawa wapambanaji walio kuvutia wewe kuingia Chadema leo wameitwa wasaliti na wameonekana wabaya kisa demokrasia ya kweli haipo wewe ni nani Chadema pia unajua nini zaidi kuwazidi hao walioitwa wasaliti tafakali chukua hatua baada ya uchaguzi Chadema inakufa.[/h]Chagua Magufuli kuwa Rais wako 2015/2020
Kwa maendeleo na ya kasi
@Hapa Kazi tuu

11217817_887973057945123_6409398095198119361_n.jpg

11923602_887977437944685_3533473527470723761_n.jpg

11988712_887978141277948_8247936621948386696_n.jpg

11990467_887977841277978_3713445376173279094_n.jpg
 
Ukweli huleta maumivu na unachukua upande
 
Hilo tangazo linakiri kuwa MNACHAGUA SHETANI. Lisome kwa Makini na utafakari na sio kufuata Mkumbo.

....mkuu Ntakutupia mapicha ya Shinyanga Home... Hakika huu ni mwaka wa MABADILIKO NA LOWASSA
 
Hilo tangazo linakiri kuwa MNACHAGUA SHETANI. Lisome kwa Makini na utafakari na sio kufuata Mkumbo.
Ni wachache wenye macho ambayo wanayatumia kuangalia kwayo..,wengi wanamacho lakini hawaoni..!!
 
Toka mwanzo wa mfumo wa vyama vingi uanze mwaka 1992, waanzilishi wengi wa mageuzi wameishiwa stamina, pumzi imekata, aidha wamerudi CCM ama wamebaki na vyama vyao vya upinzani wakiwa mawakala wa CCM, Freema Alkael Mbowe kasimama hadi mwisho!
Yap!, mwamba usiotikisika.
 
Hilo tangazo linakiri kuwa MNACHAGUA SHETANI. Lisome kwa Makini na utafakari na sio kufuata Mkumbo.

heri mwovu aingiayd katika nyumba ya wenye heri anaweza kubadilika kuliko mwenye heri aingiaye kwenye nyumba ya waovu. hakika nae atakuwa mwovu.namsikitikia magufuli.
 
Inawezekana kuna watu wako overexcited, lakini naweza kuelewa kwa nini watu wanafeel hivyo.

CHADEMA imekuea ikimuita Lowassa fisadi papa siku zote hizi, leo Lowassa huyu huyu ndiye mgombea wao wa urais?

Kulikoni?

ndugu Kiranga nadhani hizo ndo wanasiasa wanaziita siasa za kimekiaveli; leo unasema hili, kesho unatenda tofauti na ulilosema jana. usiaminike kabisa; kumbe mtu asiyekuwa na msimamo hafai kabisa kupewa uongozi kwa sababu kauli yake haifai kuaminika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom