Suppression of Dissent; Mbowe ni Shujaa

Suppression of Dissent; Mbowe ni Shujaa

Ccm walichukua form tu ila sio wote 42 walipewa nafasi ya kunadi Sera zao
Sio kosa lako, inawezekana hausikilizi chombo chochote cha habari..

PENDEKEZO:
tafuta HUAWEI 2570 inauzwa 35,000 katika maduka ya simu, ina redio, televisheni na ina support SIMU Tv,.ingawa ni simu ya mchina lakini inaweza kukusaidia, usiachwe nyuma sana na kinachoendelea duniani.
 
Mbowe hana bei...
Mkuu Mbowe ndio kamanda wa kweli tz hii, mijambazi ya ccm imemshindwa, Nafikiri utajiri wake nao umechangia. Mtu ukiwa maskini maskini kama alivyokuwa slaa, zitto, kikwete and co. ni rahisi sana kununuliwa
 
Mbowe Mbowe Mbowe, Ni nani aliyekuloga? Ni nani aliekuurithisha tamaa? Unatumbo gani ambalo halitoshe? Nili utaacha kuwahadaa watanzania?
Ivi huwezi ukakaa wewe mwenyewe (MBOWE) ukawaza kwa akili ndogo tu kwanini umebaki mwnyewe, ukawa japo kwa dakika mbili yuko wapi slaa, yuko wap ZItto ukawa yuko wapi Hamad Mussa na Said Arifu?? Ivi huwezi kuwaza hata kidogo kkwanini kwenye meza kuu sasa hivi wamejaa makapi ya CCM na wapiganaji wa kweli hawapo? Njaa ya tumbo lako imekusababisha ukaacha akili yakona upongo wako vikaongozwa na tumbo na ndio maan leo hii umeamua kuuza chama baada ya kusaliti wenzio. Naomb nikwambie mbowe (sikuhukumu) kua dhambi hii ya Usaliti itakutafuna mpaka mwisho, Ukikosa wakumsaliti utamsaliti hata mkeo na wanao kwa maan ni jadi yako. Watu walimwaga damu lakini wewe leo ndo unaongoza msafara wa kuwadhihaki na kuwaona kua hawafai na niwasaliti.

Hakuna ukombozi wowote unaouleta, kama ulishindwa kukomboa chama kisianguke leo hii utawezea wap kukomboa nchi?IVi hata nafsi haikusuti kuona wote uliokua nao 2005-20014 hawapo tena umebaki mpweke? au ndo milungula inakupa kampani? Hakika nimeamini kua huwezi kua mkombozi kama huna kitu tumboni (kama una njaa) maana watakulaghai na vipande vya fedha na kwa maan unashida utakubali.

Ukaitubu hii dhambi maan haitakuacha hata utakapokua mzee.
 
ukawa toleo jipya haifai kupewa dhamana ya kuongoza taifa hili pendwa la jmt, ni genge la wahuni, wasaliti wa misingi yao, vigeugeu, wanafiki na wazandiki waliotukuka, watanzania hatupo tayari kuuza nchi yetu, tumeshasema kwa wingi kuwa hatutachagua ukawa toleo jipya.
mliotolewa ufahamu endeleeni na uzezeta wenu.

mabadiliko kwanza kwani hamna namna nyingine...people's ..........
 
Inawezekana Mbowe akawa kweli ni genius kama wewe ulivyo mpamba lakini najiuliza maisha yake kisiasa baada ya kushindwa itakuwaje. Trust me maneno aliyoyatoa Dr Slaa inawezekana wasione kama yana madhara sasa lakini baada ya uchaguzi ndo yatakua maneno ambayo yatawasumbua Mbowe na wenzake ndani ya Chama watanyooshewa sana vidole na kukosa mvuto mbele za watu.
 
Hotuba ya mh. Slaa imenisaidia sana kuwajua wanasiasa kwa undani zaidi! Kubwa zaidi hata tukiamini maneno yao, lakini siyo wakutegemea! Hawa watakuacha njiani, lakini kuna ukweli uliofchika, ambao labda hata yeye Slaa hajauona.
Mbowe ni genius! Slaa amenisaidia kumwona Mbowe katika ubora wake, siyo ukabila lakini kuna wakati Wachaga wapewe sifa wanazo stahili. Mbowe anafahamu hesabu na anachanga karata zake na kuzicheza vizuri sana!
Sijui kwa wengine lakini, kusema kweli mimi naona urafiki wa Mbowe na EL siyo wa kudumu. Baada ya October 25, litajengwa 'tofali' jipya katika ujenzi wa democrasia ya vyama vingi Tanzania bila kujali itashinda UKAWA au CCM! Muungano wa UKAWA na EL, una nia moja tu kupunguza absolute power ya CCM na kama siyo CCM kufa basi iwekwe kwenye viwango sawa na vyama vingine.
Anyway u-genius wa Mbowe upo wapi? Ni kwenye 'usajili!' EL, 2015 kama Slaa mwaka 2010, ni 'mchezaji' mkali ambaye unaweza kumtumia sasa kubeba ubingwa wakati ukiendelea kukuza vipaji! Kuna fursa Mbowe ameiona, ambayo hata Slaa hakujua 2010 kwamba alikua 'usajili' wa msimu ule! Mbowe ni 'mtaalamu' hata ukimwita jina gani, au useme ameuza chama, kwa kazi ya mwenyekiti wa chama ni nini?! Uza chama, I mean, uza chama!! Wakati kuna watu vyama vinawadodea na kuwafia mikononi, Mbowe anauza chama.............chema chajiuza!
Hongera Mbowe, wacha EL akusogeze, kama siyo kukamata nchi mwaka huu, lakini mwendo huu, lazima utakua karibu! Mbowe amecheza, ni bonge la kocha, na Lazima tumpe pongezi zake!

Huu ni ulofa uliopitiliza. Hivi unaanzaje kumsifia mtu aliyewasaliti wenzake lakini yeye akajihesabia msafi na kuwaona wale aliowasaliti kwamba ndio wasaliti??

Ni ukweli usiopingika kwamba Mbowe anafuata maslahi yake mwenyewe na si maslahi ya chama wala maendeleo ya taifa.

Ushabiki wa kuona kuwa msaliti ni shujaa inabidi wanaUKAWA muuache; kwani siku si nyingi imani ya watu kwenu itapotea.

Kwa nini wale wanaoongea ukweli ya kuwaweka kwenye misingi yenu bila kutetereka ndio mnawaona wasaliti na kuwatupilia mbali??

Huwezi kumpa nchi mtu ambaye hasikilizi maonyo, marekebisho wala maoni ya watu.

CCM walisikiliza maoni ya watu waliposema kuwa hawataki kuongozwa na fisadi ndio sababu wakamkata Lowassa ambaye leo hii Mbowe na wenzake wanamuita shujaa.

Inabidi Mbowe ajipange upya akumbuke kwamba maonyo, marekebisho na vitu ambavyo watu wanakosoa ni vya kuweka maanani na si vya kupuuza.

Kwa sasa huwezi kumuita Mbowe kocha mzuri bali kocha asiyejua hata jinsi ya kuucheza mpira na ndio hapo utaanza kuweka mashaka hata katika njia alizotumia kuupata huo ukocha. Kama angeujua mpira vizuri basi asingeweza kuwakata washambuliaji wake mahiri.
 
Mhhh hii hoja mpya...inafikirisha, jambo ambalo watanzania wengi hawalipendi ingawa inawalazimu kulifanya.

Kumbe CCM walishaingia mkataba na Prof Lipumba ili awauzie CUF., kisha Mbowe akaja kutibua Dili kwa kumuuzia CHADEMA, CUF, NLD, NCCR - Mageuzi kwa wakati mmoja kwa mwanaCCM wa zamani na swahiba wa karibu wa Jakaya Ndugu Edward Ngoyai.

Kama sio U-geniuos wa Mbowe leo UPINZANI wote usingelikuwa chini ya MwanaCCM kindakindaki..

Mwanccm kindakindaki anayewatesa kwelikweli! Mbona mnapambana naye hivyo? Kama ni wenu si mumwache ashinde urasi? Si ni wenu?
 
Inawezekana Mbowe akawa kweli ni genius kama wewe ulivyo mpamba lakini najiuliza maisha yake kisiasa baada ya kushindwa itakuwaje. Trust me maneno aliyoyatoa Dr Slaa inawezekana wasione kama yana madhara sasa lakini baada ya uchaguzi ndo yatakua maneno ambayo yatawasumbua Mbowe na wenzake ndani ya Chama watanyooshewa sana vidole na kukosa mvuto mbele za watu.

Hi a mwaka huu haina kushindwa. ushindwa kivipi? Hata wasipokamata dola kwa mra ya kwanza kura za urais zitakuwa almost nusu kwa nusu. na wabunge wa upinzani watakuwa mara tatu ya hawa wa sasa. Hapo kuna kupoteza? Yaani upinzani utakuwa imara mara dufu.
 
malipo ni hapa hapa duniani. asikudanganye mtu.

11896122_116820222004365_5517283645239146399_n.jpg

SUPPRESSION OF DISSENT occurs when an individual who is more powerful than another tries to directly or indirectly censor, persecute or otherwise oppress the other party, rather than engage with and constructively respond to or accommodate the other party's arguments or viewpoint. When dissent is perceived as a threat, action may be taken to prevent continuing dissent or penalize dissents.

Tafsir ya maneno ya hapo juu ni hii;

UKANDAMIZAJI WA UPINZANI hutokea wakati mtu ambaye ana nguvu zaidi ya wenzie anapojaribu moja kwa moja ama kwa namna yeyote ile kuwadhibiti, kuwatesa au kuwaonea wengine, badala ya kushirikiana/kujihusisha nao katika kuboresha ama kujibu hoja au mitazamo ya wenzake hao. Jambo hili hufanyika ikiwa huyu mmoja anaona wale wengine ni tishio, huchukua hatua za kuwazuia wenzake ama kuwashurutisha na kuwaondoa.

KUTOKANA na picha ya hapo juu;

Kutoka kulia;

Hamad Mussa Yusuph (mwenye kombati nyeusi "Msaliti") - Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA znz ambaye kwa sasa ni mgombea mwenza wa ACT Wazalendo.

Aikaeli Freeman Mbowe (SHUJAA) - M/kiti wa CHADEMA wa wakati huo na wa sasa.

Wa katikati, Peter Wilbrord Slaa (Msaliti) - Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, kwa sasa ni Mwanaharakati asiye na chama.

Mwenye fulana ya M4C, Said Arfi (Msaliti) - Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara ambaye kwa sasa ni Mwanachama wa CCM.

Wa mwisho aliyevaa Kombati, Zubeir Zitto Kabwe (Msaliti) - Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo.
 
"Kumzomea mwizi ni baraka kwa Mungu. Lowassa ni mwizi" Godbless Lema. Hizi kauli na nyingine nyingi ndizo zitatumika kumhukumu EL hapo october na si kauli nyingine za watu waliolewa pesa na uchu wa madaraka. Say No to EL
 
Tuseme tu ukweli hili la mbowe ni mesi 5 Arsenal 0 kwa mwenendo ambao alikua nao slaa na vile mbatia alivyo sema kuwa kidogo amtangaze kuwa mgombea akakataa kumbe alikua na lake jambo.

alimpelekea mbowe taarifa mbowe akachunguza akakuta slaa kamletea mesi alafu mechi ndo imekaribia. kweli jamaa ni bingwa bila hivyo upinzani ungedoda hata ccm wasingekua na waswas maana slaa alikua kibaraka wao vile vile lupumba.
 
Hiki chama kilianzishwa kwa maslahi ya familia fulani, ukiona mtu anafukuzwa kwenye chama hicho ujue alienda kinyume na matakwa ya wenye chama chao.

Habari ndiyo hiyo, nyie shangilieni tu mkidhani ni chama cha ukombozi kumbe ni chama cha tumbo la familia
 
WATANZANIA wanataka mabadiliko tena sana, tunataka mabadiliko ya kupungana na rushwa na ndio maan kwenye ilani ya CCM ni miongoni mwa vipaumbele 4. Tunataka mabadiliko ndio maan tunamchagua mchapakazi aje kua kiongozi wetu tuige kutoka kwake, tunataka mabdiliko ndio maana hatumchagui Fisadi kuja kuwa kiongozi wetu maan tukiiga kwake na sisi tutakua kama yeye, tunataka mabadiliko ndio maan katika nafasi za juu za uongozi pia kuna mwnamke tofauti na zamani, tunataka mabadiliko ndio maana tunataka kuifanya elimu kua bure kuanzia chekechea had kidato cha nne lakini pia tunataka mabadiliko ndio maan tyuinafungua mahakama ya kupamban na mafisadi

Hatutaki mabadiliko yaliyotwaliwa na matumbo ya watu wenye njaa ambao wako tayari kuuza wenzio ili wao washibe, hatutaki mabadiliko ya mtu ambae yupo tayari kutumia mamilioni ya pesa ili aingie ikulu. Tunataka mabadiliko yatakayonufaisha taifa zima.

#HapaKaziTu
 
watanzania wanataka mabadiliko tena sana, tunataka mabadiliko ya kupungana na rushwa na ndio maan kwenye ilani ya ccm ni miongoni mwa vipaumbele 4. Tunataka mabadiliko ndio maan tunamchagua mchapakazi aje kua kiongozi wetu tuige kutoka kwake, tunataka mabdiliko ndio maana hatumchagui fisadi kuja kuwa kiongozi wetu maan tukiiga kwake na sisi tutakua kama yeye, tunataka mabadiliko ndio maan katika nafasi za juu za uongozi pia kuna mwnamke tofauti na zamani, tunataka mabadiliko ndio maana tunataka kuifanya elimu kua bure kuanzia chekechea had kidato cha nne lakini pia tunataka mabadiliko ndio maan tyuinafungua mahakama ya kupamban na mafisadi

hatutaki mabadiliko yaliyotwaliwa na matumbo ya watu wenye njaa ambao wako tayari kuuza wenzio ili wao washibe, hatutaki mabadiliko ya mtu ambae yupo tayari kutumia mamilioni ya pesa ili aingie ikulu. Tunataka mabadiliko yatakayonufaisha taifa zima.

#hapakazitu

nalijifunza kuwa wine mpya huja kwenye kikombe kipya, sasa hii yako ni mpya ila kikombe cha zamani....people's......
 
Mwisho wa CDM ndo huu jamani. inaonekana zilikua mbio za sakafuni tu. watu hawa hana madaraka lakini wanayoyafanya ni aibu. hawafai hata kwa dawa
 
Kadi yako ya kura unayo. kapige kura october. nina imani shule imekusaidia kuchambua baya na zuri hata kama hukufaulu. Unataka change, chagua change na its obvious magufuli ndo mwenye mabadiliko bora.
 
Shujaa ni yule anaesimamia ukweli na misingi aliojiwekea since day one. mbowe msingi wake Disco maana halijawahi kuvunjwa au kuhamishwa maeneo...hahahahha....well done wapinzani....mmenyoosha njia kwa CCM kuingia ikulu..CCM OYEEEEEEEEEEE
 
Hotuba ya mh. Slaa imenisaidia sana kuwajua wanasiasa kwa undani zaidi! Kubwa zaidi hata tukiamini maneno yao, lakini siyo wakutegemea! Hawa watakuacha njiani, lakini kuna ukweli uliofchika, ambao labda hata yeye Slaa hajauona.

Mbowe ni genius! Slaa amenisaidia kumwona Mbowe katika ubora wake, siyo ukabila lakini kuna wakati Wachaga wapewe sifa wanazo stahili. Mbowe anafahamu hesabu na anachanga karata zake na kuzicheza vizuri sana!

Sijui kwa wengine lakini, kusema kweli mimi naona urafiki wa Mbowe na EL siyo wa kudumu. Baada ya October 25, litajengwa 'tofali' jipya katika ujenzi wa democrasia ya vyama vingi Tanzania bila kujali itashinda UKAWA au CCM! Muungano wa UKAWA na EL, una nia moja tu kupunguza absolute power ya CCM na kama siyo CCM kufa basi iwekwe kwenye viwango sawa na vyama vingine.

Anyway u-genius wa Mbowe upo wapi? Ni kwenye 'usajili!' EL, 2015 kama Slaa mwaka 2010, ni 'mchezaji' mkali ambaye unaweza kumtumia sasa kubeba ubingwa wakati ukiendelea kukuza vipaji! Kuna fursa Mbowe ameiona, ambayo hata Slaa hakujua 2010 kwamba alikua 'usajili' wa msimu ule! Mbowe ni 'mtaalamu' hata ukimwita jina gani, au useme ameuza chama, kwa kazi ya mwenyekiti wa chama ni nini?! Uza chama, I mean, uza chama!! Wakati kuna watu vyama vinawadodea na kuwafia mikononi, Mbowe anauza chama.............chema chajiuza!

Hongera Mbowe, wacha EL akusogeze, kama siyo kukamata nchi mwaka huu, lakini mwendo huu, lazima utakua karibu! Mbowe amecheza, ni bonge la kocha, na Lazima tumpe pongezi zake!

kula like kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom