SUPPLIER WA ALUMINIUM WINDOW

SUPPLIER WA ALUMINIUM WINDOW

ZINDAGI

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2015
Posts
1,118
Reaction score
1,436
Ndugu zangu, kwanza habarini sa siku ya leo?

Naomba msaada wenu kwa mwenye kumjua supplier/fundi mzuri wa Aluminium windows anitumie contact zake hapa katika posti hii.

Na kama wewe mwenyewe ni fundi, nitumie reference/picha za kazi yako humu humu JF ili wengi wafaidike.

Pia kama itawezekana price estimate per SqMtr- Site ipo Dar es Salaam.

Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote mtakaoitikia ombi hili
 
0713972155 mcheki huyu jamaa
 
Hivi mnafanyaje kuzuia mbu wasiingie kwenye alminium windows...hii kwangu imekuwa issue natamani kutumia zaidi PVA...maana alminium kila ikifika jioni ni kufunga na kufungua otherwise mbu watajaa ndani, mafundi wanisadie kwenye hili
 
1474089921727.jpg
1474089927181.jpg
1474089931349.jpg

0758358580
Baadhi ya kazi zetu nicheki tunaitwa infinity alluminium pvc mkuu bei zetu nafuu au nipe namba nikutumie picha za ziada whatsapp
 
Hivi mnafanyaje kuzuia mbu wasiingie kwenye alminium windows...hii kwangu imekuwa issue natamani kutumia zaidi PVA...maana alminium kila ikifika jioni ni kufunga na kufungua otherwise mbu watajaa ndani, mafundi wanisadie kwenye hili
Mkuu itakuwa mtu aliyekuwekea wavu ni mbaya au hakukuwekea raba ya kuziba nafasi na hii ni tabia ya mafundi wengi wanafanya hivyo kumaximize profit
 
Ndugu zangu, kwanza habarini sa siku ya leo?

Naomba msaada wenu kwa mwenye kumjua supplier/fundi mzuri wa Aluminium windows anitumie contact zake hapa katika posti hii.

Na kama wewe mwenyewe ni fundi, nitumie reference/picha za kazi yako humu humu JF ili wengi wafaidike.

Pia kama itawezekana price estimate per SqMtr- Site ipo Dar es Salaam.

Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote mtakaoitikia ombi hili
Mcheki huyu jamaa anaitwa Chotamasege yupo kinondoni Biafra.
0718 749 733
 
Hivi mnafanyaje kuzuia mbu wasiingie kwenye alminium windows...hii kwangu imekuwa issue natamani kutumia zaidi PVA...maana alminium kila ikifika jioni ni kufunga na kufungua otherwise mbu watajaa ndani, mafundi wanisadie kwenye hili
Wewe utakuwa na tatizo la uelewa, dirisha la Aluminum vioo vinakuwa viwili na la nyavu moja, labda unashindwa kujiongeza kwenye kuslide.
 
Kuna wavu maalum mkuu
 
Wewe utakuwa na tatizo la uelewa, dirisha la Aluminum vioo vinakuwa viwili na la nyavu moja, labda unashindwa kujiongeza kwenye kuslide.

Hawezi kuwa haelewi kiasi hicho!
Ukweli ni kwamba kati ya fremu ya wavu na fremu ya kioo kunabaki nafasi ndogo inayoruhusu mbu kupita. Nafasi hii inazibwa na rubber ambayo mafundi wengi hawaweki.
 
Hivi mnafanyaje kuzuia mbu wasiingie kwenye alminium windows...hii kwangu imekuwa issue natamani kutumia zaidi PVA...maana alminium kila ikifika jioni ni kufunga na kufungua otherwise mbu watajaa ndani, mafundi wanisadie kwenye hili
Pia tunaweza kukurekebishia hilo tatizo la nyavu
 
Wewe utakuwa na tatizo la uelewa, dirisha la Aluminum vioo vinakuwa viwili na la nyavu moja, labda unashindwa kujiongeza kwenye kuslide.
Mafundi wengi wanasahau kuweka rubber inayoziba gap kati ya dirisha la nyavu na kioo. Inawezekana pia wanafanya makusudi kuongeza faida.
 
Back
Top Bottom