Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,502
- 1,959
Watanzania wapi unaowazungumzia? Wewe na shangazi yako labda. Sisi tuko bega kwa bega na MsukumaNaunga mkono hoja , kuanzia sasa Zitto Kabwe na Maalim Seif na Act ni wasaliti wa watanzania hawafai hata kwa kulumangia .
Sawa....umeandika maneno meengi ila cjaelewa point yako n nn.
Kwan harakati zpo katka mlengwa gan kama sio siasa...?🚮
🚶🚶🚶
Tena mna sera za kuwatetea watu wenye jinsia yake.Karibu Chadema, chama peke cha upinzani chenye msimamo, na Tumaini la watanzania.
Ni Yale yale ya Lowassa CCM na Lowasaa CHADEMA.Mkuu ukitaka ucheke, muulize akupe tofauti ya mwanasiasa na mwanaharakati. Slaa wakati yuko cdm alikuwa anaitwa mwanaharakati, ila baada ya kuondoka cdm, sasa kila mwanaccm anampaka Slaa mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa alikuwa mwanasiasa wa kweli, kwa sababu tu kwa sasa Slaa hawakosoi tena ccm!
Mandela alishawishiwa kupewa nafasi kubwa kwenye Serikali ya makaburu lakini alikataa.Maalim kukubali kuwa makamu wa rais hakumaanishi amekubali matokeo ya uchaguzi.kila mtu anajua ccm waliiba kura na kutengeneza kura feki.
Ila Nani wa kuwahukumu ccm?.
Kwanini mzee maalim Aendelee kuishi kwa presha wakati nafasi ipo?
Hivi unafikiri Lisu au Mbowe akitaka ubunge au nafasi katika Serikali ya Magufuli, ataikosa? Tena Magufuli atawapa haraka sana na kwa furaha kubwa.Kwenyé siàsa mtu akifanya maamuzi kama haya,mimi hufikiria haya;Lililofanyika Halijamnufaisha mtoa maamuzi haswa kipesa na kiumaarufu.
Huwa najiuliza 'Endapo viti maalumu ingekuwa ni wanaume, je Chadema wale top leaders wangesusia nafasi au wangechaguana!?
Ni Yale yale ya Lowassa CCM na Lowasaa CHADEMA.
Wanasiasa wanjua wanachokitaka.
Ninyi blind followers hamjielewi, ni wapumbavu
Katika demokrasia za vyamani, kuna njia tatu.Kukimbia chama sio suruhisho la tatizo.
Kuna manaibu wapya wengine wamebaki na ubunge wa viti maalum ninasikia.Chadema hii "CCM B"