Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,165
- 6,531
- Thread starter
- #101
Eti umesahau ni jani gani. Kah.Natamani ningekua hili jani/tawi la .......................Nimeangalia hii picha hadi nimesahau hili ni jani/tawi la mti gani.. kila nikijaribu kufikiri hata jina lake haliji tena. Nisaidieni kujaza hapo juu. Ukimuona huyu mtoto hapo ni mwembamba lakini mmmhhh kiunoni kwenda chini shughuli.. Mungu tuongoze kwenye haya maua.