Super Star wetu Wa Bongo

Super Star wetu Wa Bongo

Mateka

Senior Member
Joined
May 2, 2011
Posts
131
Reaction score
41
Niliambiwa jamaa ni msanii kumbe ni kweli!


jk.jpg
 
Ha ha ha ha ha ha haaa! kwi kwi kwi iiiiii! Dr. Photogenic!
 
Hiyo ndio style yake ya maisha, teh teh
 
ongeza na ya akina Thabit, Drogba na wengine...baada ya LULU anafatie! lol!
 

Nilipokuwa na umri wa balehe, kule milimani tulikuwa tunatengeneza makarai mabovu kwa ajili ya kuteleza milimani. Hii ilikuwa ni kuokoa kutoboka kwa kaptura zetu za shule. Loh, kumbe yapo mazuri hivi, afu huyu anayejaribisha mbona mkubwa sana:yawn:
 
nimebaki nashangaa maana mawazo yananizidi tu, anyway raha jipe mwenyewe
 
mbona pics zote kaam yeye ndiye kajipa intro?Hapa hamna rais.Na mkimzoea anaweza dai mnamuonea donge.
 
hahaha mi nilijua wema kumbe ni Dr bwana af kweli yale maneno................. yanakaribia na ukweli
 
Back
Top Bottom