MDAU JR
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 452
- 82
with beckham
![]()
Mbona Beckham jicho kwa mama mwanaasha tu?
with beckham
![]()
Rais tunaye kwa kweli. Anapenda starehe kuliko kazi.
Nilipokuwa na umri wa balehe, kule milimani tulikuwa tunatengeneza makarai mabovu kwa ajili ya kuteleza milimani. Hii ilikuwa ni kuokoa kutoboka kwa kaptura zetu za shule. Loh, kumbe yapo mazuri hivi, afu huyu anayejaribisha mbona mkubwa sana:yawn:
Bembea za Jamaica!