Super muscles

Hahhahaaaa SHIEKA jamaa utaacha wakasirike nikiandika hivyo
Hao wajamaa kuingia jf kisha kwenda jukwaa la jamii photos na kusoma thread inayowahusu ni sawa na tembo wa mikumi kutembea mpaka dodoma na kuingia ndani ya ukumbi wa bunge na kumshika mkono spika.
 
Hahaha haya bwana lakini wengine tunao humu humu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…