Kila la kheri Millen,wakati wa kupata elimu pale Kibosho Girls' ulikuwa mmojawapo wa wasichana wanaongoza kwa urefu.
Kweli mafanikio ya mtu yapo katika jitahada pia,kwani usingeamua kushiriki mashindano ya ulimbwende,sijui ungekuwa wapi.
Kila mtu ana kipaji/talanta aliyopewa na Mungu zitumike kujikwamua na kujiletea maendeleo.
Kila la kheri Usimsahau Mungu