englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Nimesikia kuwa Dif zake zinawapa shida sana Bongo wengi wamemodifi na kuweka za Scania. Kuna mwenye taharifa hizi?
siyo diff tu hata ingine wameaanza kuzibadili,kuna baadhi ya Yutong za Kilimanjaro kaweka dif na ingine za scania