BobKinguti
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 228
- 87
Ok Iskip iyo step ya kuedit hosts file kwa sasa haina madhara fuata step izo za mwanzo tu na itakubali
Hii trick kwangu imezingua, kila nikiweka hii connectify program, my pc run to problems na ina shut down/restart immediately nikirun connectify.
Mkombozi kwasasa ni tigo megaboksi package, gharama kidogo speed ya kutisha. Wasiwasi ni kwamba jee hii kasi ya rocket itadumu for how long?
View attachment 77790
Mkuu hii speed niliyoweka haipimwi tu kwenye dashboard. Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa internet utagundua tu speed ya net unayotumia, wala uhitaji IDM kugundua. Kwa speed hii niliyoisema ninaweza kuangalia online tv in HD like these:mkuu usipagawishwe na download speed ya kwene dashboard kwa sababu mm huu mda na reply yangu inapiga 3.9MBPS lkn download speed kene IDM ni 200-300kbps wakati sometimes kene dashboard iko 300-390 kene IDM ni 400-500kbps
ndo maana e2themiza kaweka picha ya IDM ambayo ni approx 2mps tofauti na ile ambayo inaonekana kene dispatch 8-20MBPS
Mkuu hii speed niliyoweka haipimwi tu kwenye dashboard. Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa internet utagundua tu speed ya net unayotumia, wala uhitaji IDM kugundua. Kwa speed hii niliyoisema ninaweza kuangalia online tv in HD like these:
Kwahiyo mkuu kama tv kama hizo tena in HD, unaangalia live bila kukatakata,kweli unahitaji IDM kukubali kwamba speed yako ya net iko juu? Hapa si uwanja wa maonyesho bali tunapeana taarifa tu.
we jamaa una utani ni pc yangudah nyie wa dar ndo mtafaidi wengine maeneo yetu ukiunganisha hizo 3 ndo labda upate 400KBps.
Ngoja na mi ntajaribu.
Then mkuu kuna kitu hapa lets say usb port yangu ni moja tu. Then nkanunua multi usb kile kifaa kinachotoa usb port nyingi toka usb port 1 itadetect hio software?
hayo ni mambo ya zamani, mikoani kuna 4g siku hizi, mtandao mmoja unapata hadi 40mbpswe jamaa una utani ni pc yangu
ngoja nisome komenti buenda nkakutana na majawabu