Super Internet speed 2MBps/ 10Mbps baada ya kucombine mitandao 3

Super Internet speed 2MBps/ 10Mbps baada ya kucombine mitandao 3

dah nyie wa dar ndo mtafaidi wengine maeneo yetu ukiunganisha hizo 3 ndo labda upate 400KBps.

Ngoja na mi ntajaribu.

Then mkuu kuna kitu hapa lets say usb port yangu ni moja tu. Then nkanunua multi usb kile kifaa kinachotoa usb port nyingi toka usb port 1 itadetect hio software?
 
Katika khali ya kawaida si wakazi wa Tegeta tutumie line ipi kwa Internet?
 
dah nyie wa dar ndo mtafaidi wengine maeneo yetu ukiunganisha hizo 3 ndo labda upate 400KBps.

Ngoja na mi ntajaribu.

Then mkuu kuna kitu hapa lets say usb port yangu ni moja tu. Then nkanunua multi usb kile kifaa kinachotoa usb port nyingi toka usb port 1 itadetect hio software?
Dah kama Voda nyie Mkoani ndo mnafaidi na nimeskia na mikoani pia Tigo inakita balaa.. Yap mkuu itadetect kama umefanikiwa kuiconnect na net
 
It works mkuu hii
inatakiwa 2kaifche kule jf store ili kuichukua mpaka twe member we2 tu!
 
Mkuu msaada jinsi ya ku-replace hayo mafile na kuset permission
Ok Inategemea kama ulireplace kabla haujaboot haitasumbua sema itatokea notification click OK na inaweza tokea notification nyingine na click ok na itacopy na kureplace crack.. kama uli boot kabla haujareplace then utahitaji uiexit iyo connectify kulia chini kwenye taskbar.. then ufungue task manager na u end process zote zinazohusu connectify ndo uicopy na kureplace iyo crack.. then restart na haitasumbua.

Kuhusu permission.. navigate kwenye iyo hosts file right click it na click Properties.. click Tab ya Security na click User account yako au unayotumia now na click edit alafu kwenye allow check Full control, click Apply then ok..

Sasa unaweza kuiedit iyo hosts file.. jinsi ya kuedit open a new notepad txt, then dumbukiza ile hosts file humo na ongezea iyo line kwa chini the save it your done.
 
It works mkuu hii
inatakiwa 2kaifche kule jf store ili kuichukua mpaka twe member we2 tu!

Acha unafki. Ikafichwe wapi? Mwenza ameamua ku share na wana JF, alafu wewe unasema ikafiche. Ili iweje. Kama huna ki2 cha kupost bora usome post za wenzako then uende huko FB uka facebuke.

Hongera kwa mtoa idea.
 
Back
Top Bottom