nilikuwa namaanisha kama una usb port zaidi na utaweza kutumia modem nyingi zaidi piaNipo kwenye mobile, nasikitika like SITOWEZA kupiga!
Dah!!! e2themiza mzazi unatisha kupita maelezo, BIG UP!!
Kwa kuuliza, that means kwamba "MORE USB PORTS ON YOUR PC, MORE MODEMS", Yaani PC iwe na ports 2 au zaidi na modems kadri ya uwezo? Nifafanulie mkuu!
Ok Inategemea kama ulireplace kabla haujaboot haitasumbua sema itatokea notification click OK na inaweza tokea notification nyingine na click ok na itacopy na kureplace crack.. kama uli boot kabla haujareplace then utahitaji uiexit iyo connectify kulia chini kwenye taskbar.. then ufungue task manager na u end process zote zinazohusu connectify ndo uicopy na kureplace iyo crack.. then restart na haitasumbua.
Kuhusu permission.. navigate kwenye iyo hosts file right click it na click Properties.. click Tab ya Security na click User account yako au unayotumia now na click edit alafu kwenye allow check Full control, click Apply then ok..
Sasa unaweza kuiedit iyo hosts file.. jinsi ya kuedit open a new notepad txt, then dumbukiza ile hosts file humo na ongezea iyo line kwa chini the save it your done.
Kwanza angalia hii snap
Hapa ni combine speed ya Airtel, Voda na Tigo
View attachment 76135
Sasa Introduce you the revolutionary software "Connectify Dispatch" Hii kitu ndo inafanya hio magic na pia kwa kitu ambacho seemed possible kuweza combine zaidi ya 10 internet connections kuwa one super fast speed connection.. kama unavyo ona hapo 10Mbps kwa iyo mitandao mitatu na hapo Tigo na Voda haipo at its max speed due to mchana huu.. so tukiangalia kwa max bila kuwa crowded total ni around 13Mbps
Pia unaweza kuconnect as much as connections uwezavyo, meaning unaweza weka more than 1 connection ya mtandao moja coz unaweza chomeka modem 10+(more usb port the better), Wifi na ethernet hii software inapiga mwendo ni wewe tu.
More information na videos hapa:
Connectify Dispatch - Connectify
Na haka kasoftware kametoka week iliopita the good news imeshakuwa cracked,mta kuwa mnaijua Connectify Hotspot.. sasa hii version zipo combined zote meaning baaada ya kucombine mitandao yote unaweza rusha iyo super fast internet connection through wifi( it gets better and better)
Nime attach the software na cracks zake pamoja na maelezo on how to install and crack.. please soma the Read ME file kabla haija install.
Mkuu labda sijaelewa vizuri but inaonekana hapo ni connection iyo iyo moja but umeconnect via ethernet na wireless.. so speed itakuwa ile ile haiwezi ika double. au sijakuelewa mkuuMdau kwanza nakushukuru kwa ma Idea ambayo umeya convey kwetu nimejaribu kuweka hiyo software na imekubali bila shida ila sijawa na connection mbili tofauti ie two modems or a modem and a wireless network or ethernet!
Ila nina 3G wireless gateway ya zain model number ni E960 yenyewe ni kama wireless router ambayo inasehemu ya kuweka line na ina port za ethernet so nilichokifanya nimeconnect wireless ya hiyo wireless gateway na pia nimetap ethernet cable from the same router kuingia kwenye laptop na sioni improvement ya speed ila inaonekana katika dispatch ila speed ni ileile ambayo ningeipata kama ningetumia connection moja kati ya hizo! Je why inafanya hivyo?
Mkuu labda sijaelewa vizuri but inaonekana hapo ni connection iyo iyo moja but umeconnect via ethernet na wireless.. so speed itakuwa ile ile haiwezi ika double. au sijakuelewa mkuu
Kwanza angalia hii snap
Hapa ni combine speed ya Airtel, Voda na Tigo
View attachment 76135
Sasa Introduce you the revolutionary software "Connectify Dispatch" Hii kitu ndo inafanya hio magic na pia kwa kitu ambacho seemed possible kuweza combine zaidi ya 10 internet connections kuwa one super fast speed connection.. kama unavyo ona hapo 10Mbps kwa iyo mitandao mitatu na hapo Tigo na Voda haipo at its max speed due to mchana huu.. so tukiangalia kwa max bila kuwa crowded total ni around 13Mbps
Pia unaweza kuconnect as much as connections uwezavyo, meaning unaweza weka more than 1 connection ya mtandao moja coz unaweza chomeka modem 10+(more usb port the better), Wifi na ethernet hii software inapiga mwendo ni wewe tu.
More information na videos hapa:
Connectify Dispatch - Connectify
Na haka kasoftware kametoka week iliopita the good news imeshakuwa cracked,mta kuwa mnaijua Connectify Hotspot.. sasa hii version zipo combined zote meaning baaada ya kucombine mitandao yote unaweza rusha iyo super fast internet connection through wifi( it gets better and better)
Nime attach the software na cracks zake pamoja na maelezo on how to install and crack.. please soma the Read ME file kabla haija install.
Umeidownload kwenye attachment nilioweka na umeinstall kwa kufata steps kwenye readme file?Kaka nimefanya kudownload hiyo software lakini niki-install hainipi option ya Connectify dispatch napata hotspot peke yake. Ntafanya nn kupata hiyo Connectify Dispatch niweze kucombine hizo networks.
yah inawezekana tegeneza dial up pembeni kwanza ata kama una modem model iyo iyo zikiwa 5 zote zitakubali, ukishategeneza dial up pembeni zichomeke zote then funga dashboard ya zote. then nenda kwenye network connection settings na katika settings za izo dial up ulizotegeneza assign kila connection na modem yake kama ni model sawa basi tofautisha kwa com port.. just hakikisha dial up hazingiliani na modem zaidi ya moja pia hakikisha zote zina dialing n.o *99# the zisave na anza kuconnect connection moja baada ya nyingine kama umeset vizuri zote zitaconnect.kuunganisha huawei modems kwenye komputa moja can be tricky. mimi nimetumia windows dial up na ya pili dashboard ya mobile partner. e2themiza una njia nzuri yaa kuunganisha modem mbili zote huawei kwa wakati mmoja. maana ikifunguka dashboard ya mobile partner 16 ile ya 23 haikubali.
of course hii dispatch ni ngumu kwa matumiz ya kawaida ya wabongo ,,,,lkn iko fair kwenu akina munjy1 Paje, e2themiza coz mi ninacho kijua ni vigumu mtu aunge bando mbili may be 200 ya vodathanks mkuu.
modem zote nimeziunganisha kwa kutumia windows dial up. na kwa wale wa GURU munaweza kuunga modem zaidi ya moja kwa account moja ile ile. mimi nimetumia modem mbili. angalia maendeleo ya speed hapa chini. the same tunnel guru that you know.
View attachment 76790
Ok Inategemea kama ulireplace kabla haujaboot haitasumbua sema itatokea notification click OK na inaweza tokea notification nyingine na click ok na itacopy na kureplace crack.. kama uli boot kabla haujareplace then utahitaji uiexit iyo connectify kulia chini kwenye taskbar.. then ufungue task manager na u end process zote zinazohusu connectify ndo uicopy na kureplace iyo crack.. then restart na haitasumbua.
Kuhusu permission.. navigate kwenye iyo hosts file right click it na click Properties.. click Tab ya Security na click User account yako au unayotumia now na click edit alafu kwenye allow check Full control, click Apply then ok..
Sasa unaweza kuiedit iyo hosts file.. jinsi ya kuedit open a new notepad txt, then dumbukiza ile hosts file humo na ongezea iyo line kwa chini the save it your done.
Mkuu nimefuatilia mpaka mwisho,mimi nimekwama hapa kuhusu permission Hosts file inapatikana wapi au kama kuna mtu kafanikiwa anielekeze.otherwise nikijalibu Connectify dispatch inanipeleka kwenye mtandao na kunitaka nilipie software.
Nimeinstall vizuri kabisa ila nnavorun connectify.exe Napata error inayoonekana hapo kwenye screen shot yangu. Na connectify ikifunguka katika zile tabs za juu sipati tab ya Dispatch. Msaada kaka!