Super glue OKO na A-B glue

Super glue OKO na A-B glue

SAFI SANA MAKONDA
Mimi nampongeza sana Makonda,
Nyinyi wenye vyeti mnatakiwa mumfuate ili awaelekeze formula za kuhustle,
Yaani jamaa ametumia akili nyingi sana kufika pale alipo,
sio mijitu imebeba elimu kibao alafu imeshindwa kuplann njia za kutoka kimaisha lakini mtu ambae ni felia Ametusua mbele ya macho yao, HAMUONI AIBU??
kanuni ipo wazi
Dhaifu watakufa, strong wata-survive,
Haijalishi hao strong wata-survive kwa kula nyama za viumbe dhaifu, au watakula nyasi,
LENGO KUU NI KU-SURVIVE,
NA NDILO LILILOTIMIZWA,
OVA
 
the end justifies the means au sio

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe unaelewa lakini unaamua tu kutuchezea akili,
Mshana, muheshimu sana mtu aliyepata mafanikio flani ambayo ni ndoto za watu wengi,
Ingekuwa kutumia vyeti feki ni simple namna hiyo basi wangetumia wengi
 
kuna wakati huwa nakaa nafikiria haya ghafla mawazo yananijia nakukubaliana na Mh.Sugu kuwa huyu ni mtoto wa mzee tena mtoto aliependezwa nae,mkono wakuume wabwana mfalme,mtukufu,asiyejaribiwa,bingwa wa visasi,baba j,faruuu...!!
 
watu hawapingi hilo ila kihoja na mshangao wawengi unapo anzisha vita na nyani silaha yako ikawa ndizi na ya nyani mawe
 
kuna wakati huwa nakaa nafikiria haya ghafla mawazo yananijia nakukubaliana na Mh.Sugu kuwa huyu ni mtoto wa mzee tena mtoto aliependezwa nae,mkono wakuume wabwana mfalme,mtukufu,asiyejaribiwa,bingwa wa visasi,baba j,faruuu...!!
 
Ukitumia Logic... Nae anatakiwa kuwajibishwa kama kuna ukweli wa kuhusika na hizo tuhuma ambazo hazijakanush wa.... Nahisi hizi tuhuma hazina ukweli wowote ndo maana mkuu hajachukua hatua... siku akipata detail kamili atachukua hatua..... mwacheni mkuu wetu aendelee kutuboreshea maisha...
 
Makengeza ni aina ya ulemavu wa macho ambao mwenye hilo tatizo akitaka kuangalia mbele ni lazima ageuke kidogo kushoto ama kulia ndio anaweza kuona anachotaka kuona
Kwenye mikabala ya kugundisha kuna gundi za aina mbalimbali
-superglue hii ni gundi hatari sana na ikikamata mahali haiachii katu na hukamata haraka sana chini ya sekunde 59
-OKO ni aina ya gundi ya kuzibia pancha, gundi hii hukaa ndani ya tairi ikisubiri pancha na ikitokea OKO haraka sana hufanya yake kabla upepo haujavuja hivyo kuokoa muda usumbufu na pesa
- A-B glue unachanganya kemikali mbili tofauti, nayo ni kali sana
Hii ni mifano michache tu ya gundi zinazofanya kazi moja lakini katika mahitaji tofauti
Serikali ya awamu ya tano imeingia na mfumo mpya! Kutovumilia ujinga wowote ule hasa kwenye utendaji na majukumu... Tumeshuhudia watu wazito hasa wakichukuliwa hatua kali bila kupepesa macho.....napongeza sana hili kuna watu walikuwa ni untouchables! Hawagusiki
Lakini sifa hii imetiwa doa kisiki kimoja kidogo sana! Mpaka najiuliza hiki ni kisiki kweli ama ni mwamba mkubwa uliojitokeza juu kama kisiki?
Kigugumizi hiki cha kumwajibisha huyu mtu aliyethibitika kuwa na makosa mengi mkubwa kinatoka wapi? Yani kwa huyu mtu macho yanapata ulemavu wa makengeza ghafla? Kwamba kumwangalia mpaka ugeuze shingo kama kuku?
Tuhuma hizi za kumiliki mali inayozidi kipato chake
Tuhuma za kughushi jina
Kusafiri nje ya nchi kwa mapumziko na kutalii (wengine wameadhibiwa vikali kwenye hili
Tuhuma za kuwa na mahusiano na mtuhumiwa wa dawa za kulevya
Nk nk
Nimekaa najiuliza huyu kabandikwa na gundi gani hiyo Mpaka iwe ngumu namna hii kumng'oa? Katumia super glue OKO ama A-B glue kubandikwa hapo alipo?
Hapo ni atumbuliwe au amsha amsha ya kukagua vyeti iishiye hapo,halafu tufanye conclusion kwamba mbio za muheshimiwa zilikua ni RAT RACE
 
Yaani haileweki kabisa na nahisi huyu ndiye mshauri wake mkuu.

Ukisoma historia kila regime inayoanguka kichocheo huwa ni kidogo kabisa, wala ambacho huwezi kukidhania lakini mwisho wa siku kina impact kubwa sana. Kuna kila dalili jina la Bashite litaandikwa kwenye historia ya nchi hii.
 
Wewe unachekesha, watu waache kumdharau mwenye vyeti feki waje wamdharau anayetaka ukweli, wewe ni kichekesho cha siku
Watu wapenda haki hawafuati upepo wala hawapeperushwi ki-bendera fuata upepo.
Iko hivii? Vyeti feki vinavyoongelewa ni hadithi kama zilivyo hadithi zingine zozote za kutunga. Hakuna mahali popote palipotuthibitishia kuwa yanayoimbwa kingonjera toka kwenye midomo ya watuhumiwa kuwa ni ya kweli pasi na kuacha shaka.
Sasa tumeegemea upande ambao tunataka iwe, kabla hata ukweli haujathibitishwa.
Je ikithibitishwa kinyume chake utasemaje? Ama itakuwa kama walivyo washabiki wa timu za mpira? Kwamba anakuwepo uwanjani akishuhudia timu yake inapokaangwa, lakini huzua sababu za kupotosha udhaifu wa timu yake?
Mtu yeyote mwenye busara zake hupima upepo wa maneno kwanza kabla hajafungua mdomo wake ku-"comment" na kuonesha anachishabikia.
 
Makengeza ni aina ya ulemavu wa macho ambao mwenye hilo tatizo akitaka kuangalia mbele ni lazima ageuke kidogo kushoto ama kulia ndio anaweza kuona anachotaka kuona
Kwenye mikabala ya kugundisha kuna gundi za aina mbalimbali
-superglue hii ni gundi hatari sana na ikikamata mahali haiachii katu na hukamata haraka sana chini ya sekunde 59
-OKO ni aina ya gundi ya kuzibia pancha, gundi hii hukaa ndani ya tairi ikisubiri pancha na ikitokea OKO haraka sana hufanya yake kabla upepo haujavuja hivyo kuokoa muda usumbufu na pesa
- A-B glue unachanganya kemikali mbili tofauti, nayo ni kali sana
Hii ni mifano michache tu ya gundi zinazofanya kazi moja lakini katika mahitaji tofauti
Serikali ya awamu ya tano imeingia na mfumo mpya! Kutovumilia ujinga wowote ule hasa kwenye utendaji na majukumu... Tumeshuhudia watu wazito hasa wakichukuliwa hatua kali bila kupepesa macho.....napongeza sana hili kuna watu walikuwa ni untouchables! Hawagusiki
Lakini sifa hii imetiwa doa kisiki kimoja kidogo sana! Mpaka najiuliza hiki ni kisiki kweli ama ni mwamba mkubwa uliojitokeza juu kama kisiki?
Kigugumizi hiki cha kumwajibisha huyu mtu aliyethibitika kuwa na makosa mengi mkubwa kinatoka wapi? Yani kwa huyu mtu macho yanapata ulemavu wa makengeza ghafla? Kwamba kumwangalia mpaka ugeuze shingo kama kuku?
Tuhuma hizi za kumiliki mali inayozidi kipato chake
Tuhuma za kughushi jina
Kusafiri nje ya nchi kwa mapumziko na kutalii (wengine wameadhibiwa vikali kwenye hili
Tuhuma za kuwa na mahusiano na mtuhumiwa wa dawa za kulevya
Nk nk
Nimekaa najiuliza huyu kabandikwa na gundi gani hiyo Mpaka iwe ngumu namna hii kumng'oa? Katumia super glue OKO ama A-B glue kubandikwa hapo alipo?
inaonekana zimemixiwa OKO na A-B iyo mixture iliyo patikana apo ndo gundi ilio tumika
 
Back
Top Bottom