Dah hatari sana..Kuna jamaa yangu yuko TMA kaniambia hii kitu iko serious.
Kama hamuachi RUSHWA, kuuza Raslimali zetu na kuiba Sanduku la kura jiandaeni kuamka mko Baharini.Mwenyezi Mungu atunusuru na majanga.
Tufanye toba kwa wingi.Kama hamuachi RUSHWA, kuuza Raslimali zetu na kuiba Sanduku la kura jiandaeni kuamka mko Baharini.
[emoji2][emoji2][emoji2] daaahHaya na wewe ingia chooni unye umalize kisha ujipitishie hio toilet paper mchonyoni alafu nenda kalale ukiwa bado unanuka mavi sawa kijana
Wakazi wa Bandari salama tusijesema hatukuarifiwa kuhama,Ufilipino huko kimebembe kimeanza, ndiyo kinakuja kwetu huku:
Haina cha bahari hiyo, haukuwepo au ulikuwa mdogo sana wakati wa elnino?Wakazi wa Bandari salama tusijesema hatukuarifiwa kuhama,
Yote itakuwa sehemu ya Bahari.
Sawa tusubiri.Haina cha bahari hiyo, haukuwepo au ulikuwa mdogo sana wakati wa elnino?
Hio sio El nino, hio ni tufani, kuna tofauti kidogoTufanye toba kwa wingi.
Ufilipino huko kimebembe kimeanza, ndiyo kinakuja kwetu huku:
View attachment 2748380
Umesoma popote nilipoandika kuwa hiyo ni "el nino"?Hio sio El nino, hio ni tufani, kuna tofauti kidogo