Supana mkononi halafu kila mtu fundi..

Supana mkononi halafu kila mtu fundi..

Mkuu Mshana Jr hii gari huwa haisubiri kufika karakana! Huku ikitembea huku Mafundi nao wanaendelea na kazi,kuna mmoja anapiga Fill pump,mwingine anagongea terminal ya betri,halafu kuna mwingine namuona ameweka sikio kwenye engine!anasikilizia mlio wake,ngoja tuone anataka kufanyajeView attachment 927165
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Na wewe dereva una matatizo kwa nini unajifanya fundi? Kwa nini hutaki kusikiliza au kuamini mafundi kusikiliza ushauri wao? Yaani badala ya wewe kushauriwa wewe ndo unawashauri mafundi, alafu unawaelekeza cha kufanya, na wao kwasababu wanaangalia matumbo yao wanatekeleza unachotaka. Umekuwa mkali fundi akifanya anachofikiri kitafaa, umefukuza mafundi wanaokushauri usichokitaka. Chagua fundi mmoja akushauri vizuri matatizo ya Gari yako. Acha kukurupuka na kuwaachia mafundi wanafunzi kujifunzia katika Gari yako.

Alafu kwanini ulikuwa unatudanganya wateja wako kuwa Gari yako haina matatizo kwamba ni nzima na inaleta hesabu vizuri, hivi unajua kuwa mficha ugonjwa kifo humuumbua?
 
Niombee sana kazi ya kuendesha huu mkweche inahitaji maombi makubwa.. Najua huwezi kuamini ila mimi kabla ya kuwa dereva nilikuwa mpigadebe, kisha saidia fundi halafu fundi mkubwa kabisa... Nina uzoefu wa miaka selasini kwenye hii firdi kwahiyo tafazari sana naomba usinipangie
 
  • Thanks
Reactions: Ebe
Na wewe dereva una matatizo kwa nini unajifanya fundi? Kwa nini hutaki kusikiliza au kuamini mafundi kusikiliza ushauri wao? Yaani badala ya wewe kushauriwa wewe ndo unawashauri mafundi, alafu unawaelekeza cha kufanya, na wao kwasababu wanaangalia matumbo yao wanatekeleza unachotaka. Umekuwa mkali fundi akifanya anachofikiri kitafaa, umefukuza mafundi wanaokushauri usichokitaka. Chagua fundi mmoja akushauri vizuri matatizo ya Gari yako. Acha kukurupuka na kuwaachia mafundi wanafunzi kujifunzia katika Gari yako.

Alafu kwanini ulikuwa unatudanganya wateja wako kuwa Gari yako haina matatizo kwamba ni nzima na inaleta hesabu vizuri, hivi unajua kuwa mficha ugonjwa kifo humuumbua?
.
tapatalk_1541758560459.jpeg
 
Dereva nae kageuka fundi anatupa matumaini ya kuendelea na safari kwa kutupigia honi nyingi na resi za kutosha, lakini ukweli! Gari halina mwendo tena.
 
Back
Top Bottom