Konk masterHuu ndiyo mchango wako, unalingana na uwezo wako hatukulaumu
Nashukuru kwa kunikumbusha ila ASANTE KWA TAARIFAHujasema ahsante kwa taarifa!!!!!
usiwaze mzee oil chafu watu wakianza kujaa nitawapisha wakae mimi nitakuwa napiga debeImeondoka na wengi hiyo seat
Leo nimemwambia fungua compressor ili tuone upepo unapotelea kwenye gasket au lipo kwenye air drier... Yeye kaenda kufungua water pump na alternator halafu anakuja kuniambia tatizo kwenye water separator ndio maana gari inachanganya oil na maji... DAAAH.
Asante kwa taarifaLeo nimewahi siti ya mbele kabisa kubabake
Aisee kweli asante kwa taarifaAsante kwa taarifa
Leo nimemwambia fungua compressor ili tuone upepo unapotelea kwenye gasket au lipo kwenye air drier... Yeye kaenda kufungua water pump na alternator halafu anakuja kuniambia tatizo kwenye water separator ndio maana gari inachanganya oil na maji... DAAAH.

juzi kafunga balbu ya indiketa kwenye headlight... Headlights zikawa kama kimulimuli cha fayaHuwa napigwa BAN nikiandika hivyo kama weweLeo nimewahi siti ya mbele kabisa kubabake
Dah ndio maana kila siku mabasi yanaungua.... Sasa ona kituko cha jana, namwambia huu mguu unavuja tubadilishe oil seal anasema tununue locknut za mang'ura tufunge.juzi kafunga balbu ya indiketa kwenye headlight... Headlights zikawa kama kimulimuli cha faya
Mimi nikiandika vile lazma nilambe BANImeondoka na wengi hiyo seat
@maxence melo ni mjomba wangu.Huwa napigwa BAN nikiandika hivyo kama wewe