Supa Ghee

Sitaki kutumia hata hiyo laptop maana keyboard zitakuwa zimejaa mashahawa 😛uke:
 
ndumba ya kujipika!
huungui.???
mganga hanidanganyi hapo!
 
mi sion kosa liko wapi mbona poa tu kama uko mwenyewe si unajiachia tu kwa raha zako....??lol.....jamaa yuko kikazi zaidi!anatisha!
Mkuu, angekuwa mwenyewe picha ingefikaje humu??
 
Mnaisingizia bangi banaaaaaa! Hii ni zaidi ya bangiii, mbona arusha wote tungekuwa hivyoooo? Maana huku iko legalised man what a gwan!
 
Mh! Watu wengine nadhani mishipa ya aibu imekatika kabisaa
 
joto jamani!!
wanatumia madawa ya kulevya yaitwayo meth. ni makali kupita yote yanayoteja watu.. huuwa utashi na mtu unaweza hata kutembea na chupi tuu barabarani. mwanamuziki maarufu wa nigeria the late Fella anikulapo kuti alikuwa natumia haya madawa wakati wa uzeeni wake na hivyo kujikuta alikuwa anatembea na chupi tuu masaa 24!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…