Sup

Sup

Hizo ndio gharama .. Ila nafikiri lesson learned.
 
Ndo tabu ya kuwa kilaza. Afu ukifika mjini ulikoletwa na chuo unakurupukia disko na mademu bla kuangalia familia yako ilokutuma. Kula jeuri yako sasa!
 
Mie nlijua kwa vile ni chuo cha chama kongwe mnapewa feva, duh wameanza kuwakazia very nice.!
 
hii ni sup chakula au supplementary examination..
 
Do nilidhani unatusalimia, wattsssup ssssup! Sorry kumbe una supplimentary aka supu
 
Hizo sup za udom ni mkomoeni. Mi mwenyewe nipo kwenye hiyo ishu. 2tatoka tu!
 
Wenzio wengine walikuwa wanadaiwa hivyo hawakufanya UE. Utakutana nao kwenye special jtatu. Mmepaniwa nasikia kutokana na dharau zenu kwa staffs!
 
mkuu hongera sana maana kuna vyuo vikubwa nje ya nchi huwa hamna sup ukifeli kozi moja unarudia mwaka kwahiyo komaa sana na sio muda wote unakua JF mpaka unaachia sup
 
mkuu hongera sana maana kuna vyuo vikubwa nje ya nchi huwa hamna sup ukifeli kozi moja unarudia mwaka kwahiyo komaa sana na sio muda wote unakua JF mpaka unaachia sup
<br />
<br />
kila wakat yupo Jf anasahau kukamua. Ngoja u disco. Ila nimesikia kuwa Udom hawa disko.
 
bwana IBWE unataka kusema mteja ni mfalme, ingekua siku ya mahafali joho linakua na viraka sawa na idadi za sup ulizopata ingekua noma sana
 
bwana IBWE unataka kusema mteja ni mfalme, ingekua siku ya mahafali joho linakua na viraka sawa na idadi za sup ulizopata ingekua noma sana
<br />
<br />
wengi wasingehudhuria mahafali.
 
Back
Top Bottom