Sup ya chuo ilinikosesha mke!

U talking man!!
 
Hahahah hao wapo na nawaepuka ka ukoma!!
umeona eeh

lara 1, ishu sio magamba na awards, ishu ni awe njema kichwani.

Ushawahi kaa na mtu kila akifungua mdomo kuongea unatamani kumpaka supa glue?
 
Last edited by a moderator:
umeona eeh

lara 1, ishu sio magamba na awards, ishu ni awe njema kichwani.

Ushawahi kaa na mtu kila akifungua mdomo kuongea unatamani kumpaka supa glue?

Hahahahaaaaaaaaaa! I can imagine supaglue mdomoni!!!!!! Sasa nimekupata! Wewe unasemea ma LOOSER!!!!!!! They cant nail anything at all! They always loose!

Hata mimi looser simtaki!!!!!!!

Loosers bana, maisha yao magumu sanaaaa!
 
U talking man!!
hiyo inakuwa raha na nzuri zaidi mwanamke akiikubali, msitofautiane sana kwenye hilo gepu la ufahamu ,awe anajitambua,yupo matured ,awe anauwezo wa kutimiza wajibu wake kama mwanamke na aende mbali zaidi kwa kuwa na uwezo wa kudai haki zake.........ila ukimchukua mwenye uelewa mdogo sana ni pasua kichwa unaweza ukajikuta unakuwa mume ,mzazi ,mwalimu wa kumfanya ajitambue sasa ukute hakubaliani lol!
 
Hahahah hao wapo na nawaepuka ka ukoma!!

sasa utajuaje kama unamkimbia kisa kapata sup? By the way chuoni sio wenye akili tu ndo wanafaulu au wajinga ndo wanafeli. Kuna watu wanaotea bana mpaka huamini.
 

mi mwenyewe naogopa sana wale wa ndio kwa kila kitu. Inatakiwa mnajadiliana ila usiwe ubishi wa ujuaji lakini you direct her towards positives.
 
Hahahaaaa you dont know what you are missing!!!!!!!! Upstairs is more than class craming capacity!!!!

We lara una akili wewe, kweli kuzaliwa mjini form 6... Ciello anafikiri upstairs ni craming capacity.. Kwa mawazo yake upstairs ya bakhresa au mengi ni ndogo kuliko ya mkandala.. Angalia manji anavyojenga majengo na kuwauzia tena serikali kwa gharama juuu...

Mi ndo maana vyuo vya bongo siviamini.. Hata uwe na first class nakuona sawasawa tu as kwa kumeza hata mimi natisha...

Elimu ni uwezo sio ku crame,, walioelimika tunapima kwa decisions making, the way wanavyoendesha maisha yao, na wanavyopata riziki bila presha...
 
hahaaa, asante kwa ushauri. Tulichezeana ila mwenzangu akanikimbia nikiwa kwenye hali ngumu. Aliwa kunipigia na kuniuliza naendeleaje nikamwambia nimeshaoa.

nawe upo fasta na kuoa
 
Umenikumbusha maisha ya Muhas. Maisha yalikuwa tight sana.
 
mimi kwangu ilikuwa vice versa. Wangu alikuwa ana piga supu (suppli) chuoni, mimi namsubiri kitaa. Akapitiwa na mshikaji huko huko chuoni, nikapigwa chini.
 
We usungilo hii story umeifanya viceversa, kama sijasahau uliambiwa uclear kwanza supp ndo uje ujitambulishe ukapotea hadi leo? uongo??
 
Mmh, kwa hiyo pesa ndio kipimo cha akili??
Reagrdless umeipataje?

Hata vib.aka wa mali za Umma nao wana akili?
Basi nadhani sijajua maana ya kuwa na akili tunayoiongelea hapa

 

Huwa sipendi kuwalaumu kundi lote.
Lakini nakushauri "umshukuru Mungu qa Kila jambo qani kuna sababu ya hayo kutokea"

Bazazi ni Bazazi!
 
Umenikumbusha maisha ya Muhas. Maisha yalikuwa tight sana.

maisha mengine ni mateso makali sana. Nakumbuka kuna malecturer ukikutana nao mpaka unachanganyikiwa.
 
mimi kwangu ilikuwa vice versa. Wangu alikuwa ana piga supu (suppli) chuoni, mimi namsubiri kitaa. Akapitiwa na mshikaji huko huko chuoni, nikapigwa chini.

duh! Wanawake huwa wanaelemewa padogo sana.
 
We usungilo hii story umeifanya viceversa, kama sijasahau uliambiwa uclear kwanza supp ndo uje ujitambulishe ukapotea hadi leo? uongo??

hahaaaa, mkuu niliipenda sana ile kitu. Nisingeweza kula kona kwani hata mambo ya kujitambulisha tulipanga kufanyika baada ya internship.
 
hakuwa ridhki!! mungu alikuepusha na mengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…