Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,465
- 5,436
- Thread starter
-
- #61
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] njaa mbaya sana walitaka wapate japo buku la andazi mkuuSungusungu wehu sana kuna siku wangenipa kesi ya matumizi mabaya ya silaha, siku hiyo narudi home saa 8 usiku wananisimamisha wakati nipo kwenye gari, siku simama wala kuongeza mwendo, wakawa wananifata nyuma, nafika home kabla sijashuka kufungua geti, nao wamefikia na mapanga yao, nikatoa silaha, nikaiweka sawa, walipoona sijui hata walipotelea wapi... Hahahahahah ila tayari nishajiandaa kwa kesi. Wangepata habari yao
huyu atakuwa ni dent bado anaishi kwa wazazi halafu hiyo buku teni itakuwa ni mabaki ya pocket money
Hapana mkuu me mwenyewe mchakarikajihuyu atakuwa ni dent bado anaishi kwa wazazi halafu hiyo buku teni itakuwa ni mabaki ya pocket money
Sent using Jamii Forums mobile app
Fresh man, hao tala achana nao ikifikia siku ya kulipa wanadai kama wanadai figo.Ahasante kwa ushauri wako mkuu, TALA mbona cwajui nawackia tuu mtandaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama nakuona vile ulivyotoka mbio huku ukisema mguu vunjika kama nilikukosea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]zamani sana nimesimama na mwanafunzi kichochoroni tunaromance ghafla nastukia mwanga wa kurunzi lile la bati! laahaula nilisahau hata baiskeli yangu palepale..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] basi sawa kiongoziFresh man, hao tala achana nao ikifikia siku ya kulipa wanadai kama wanadai figo.
[emoji16][emoji16][emoji16] hapana mkuu ila tulipozunguka kwa nyuma ya lile eneo kweli jamaa alikutwa kabananisha demu kwenye ukuta, walipo wakamata yeye na demu wakawa wanawaka balaa ikabidi wampige pingu yule jamaa akatulia kimya.Pole sana... Ina kuna taarifa utakua umeziruka hapo...
Inawezekana ulikutwa ukiwa una pima oil...
Cc: mahondaw
Pia Sungusungu wakigundua si mharifu unaweza wageuza kuwa walinzi wako wakakusindikiza mpaka nyumbani.Usichanganye Polisi jamii na Sungusungu. Waliokukamata wewe ni polisi jamii na siyo sungsungu. Sungusungu huwa wanadeal na wezi, na wakikukamata haufungwi pingu ila unafungwa kamba halafu unaanza kutembezwa mitaani huku wanaimba nyimbo zao. Kama uliona kwenye maazimisho ya juzi yale hayakuwa maigizo, hivo ndo hufanya. Na mwizi anakuwa mbele kabisa huku amebeba mzigo alioiba na pia wanakuwa wamempaka tope mwili mzima ili usikilizie maumivu vizuri.