Sungu sungu wanikoseha uroda

Usichanganye Polisi jamii na Sungusungu. Waliokukamata wewe ni polisi jamii na siyo sungsungu. Sungusungu huwa wanadeal na wezi, na wakikukamata haufungwi pingu ila unafungwa kamba halafu unaanza kutembezwa mitaani huku wanaimba nyimbo zao. Kama uliona kwenye maazimisho ya juzi yale hayakuwa maigizo, hivo ndo hufanya. Na mwizi anakuwa mbele kabisa huku amebeba mzigo alioiba na pia wanakuwa wamempaka tope mwili mzima ili usikilizie maumivu vizuri.
 
Wewe kuna kitu umeruka hujaeleza yote yaliyotokea sungusungu saa 1, ni maeneo gani hayo? Tena mnaongea hayo hayakua maongezi ya kawaida, ila kwa sisi wakongwe tushakuelewa
Hamjamuelewa uyo, itakua alienda kununua papuchi maeneo ya kinondoni au buguruni eti sungusungu, itakua polisi jamii hao wamemdaka tena siyo peke yake na wengine kama sita nao wamedakwa watakua wauza papuchi na wanunuaji hao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amini hivyo mkuu, demu naye nilimuomba aje kwangu akagoma katukatu ikabidi nimfuate c unajua ukipenda tena, matokeo yake sasa hela yangu imeenda bure na ikumbukwe kuna wengine tena waliwakamata na tukaungana nao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlikamatwa wengi mlikua mnanunua papuchi saa moja usiku, hao ni askari mgambo siyo sungusungu hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂umdanganye nani?

Ni kwamba ulipokutana na demu wako mkakaa kwenye kichochoro, Mara akaanza kukupapasa, kidogo, shetani akapita akitokea bar muda ya saa 3 usiku, mkalana mate, ukaanza kazi, ukiwa kazini, pale pale sungu sungu wakaoita, wakawakamata basiii endelea.......
 
unataka kusema jamaa ana mwonekano wa kiteja sio,,?
Hapana Mkuu inawezekana kwa wakati huo jamaa hakuwa akijiamin baada ya kufikiwa na huo Ugeni sehemu waliyokuwa, naamin kabisa huyu Baharia alikuwa sehemu yenye ukakasi kidogo.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] huko mbali mbona mkuu, wala hatukufikia hatua hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu usinipoze machungu kwanamna hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi nakuambia hivi Mkuu kwanza pole, pili UKOME, next time tafuta maeneo ROMANTIC kwa ajili ya usalama wako na shemeji yetu..dah yaan man 10 wamechukua na pingu umefungwa na ndani wamekusweka na mtoto mzuri alafu bado akarudi na njaa! Au ulikopa TALA?
 
Kwa maelezo ya mwenzangu alisema hawa ni sungusungu ila inawezekana kweli wale ni askari social

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahasante kwa ushauri wako mkuu, TALA mbona cwajui nawackia tuu mtandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…