Sungu sungu wanikoseha uroda

Kweli mkuu hili cpingani nawewe wale ingawa wakati tunaanza mazungumzo yule demu alinambia hapa hawakamati nikamkatalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mida ya saa moja usiku mmekutana na dem, mmesimama mnaongea sungusungu wawakamate? Hapa kuna kitu umeruka!! Kama hujaruka kitu basi nina wasiwasi na umri wako au umri wa huyo binti!

Sent using Jamii Forums mobile app
Amini hivyo mkuu, demu naye nilimuomba aje kwangu akagoma katukatu ikabidi nimfuate c unajua ukipenda tena, matokeo yake sasa hela yangu imeenda bure na ikumbukwe kuna wengine tena waliwakamata na tukaungana nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishajifunza ndg amini ucamini mchuchu mwenyewe namtumia sms mpaka dk hii hataki kunijibu cjui ndiyo bado anastrss na tukio la jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Kwahiyo mkuu kwa umri wako huo ulitaka ukale vichochoroni??

Bado unakaa kwa wazee??

Sent using Jamii Forums mobile app
Manzi mwenyewe haeleweki mkuu kila nikimwambia njoo hm anazingua inakua haina jinsi mm kama mimi kumfuata maeneo ya kwao, ila hili nalo nikipata muda nitaliezea manaake naona huyu binti ameniweka kwenye foreni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante kwa ushauri wako mkuu ingawa waliwakamata na wengine maeneo yale yale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sungusungu wehu sana kuna siku wangenipa kesi ya matumizi mabaya ya silaha, siku hiyo narudi home saa 8 usiku wananisimamisha wakati nipo kwenye gari, siku simama wala kuongeza mwendo, wakawa wananifata nyuma, nafika home kabla sijashuka kufungua geti, nao wamefikia na mapanga yao, nikatoa silaha, nikaiweka sawa, walipoona sijui hata walipotelea wapi... Hahahahahah ila tayari nishajiandaa kwa kesi. Wangepata habari yao
 
unataka kusema jamaa ana mwonekano wa kiteja sio,,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…