Sunday Demonte yuko huru

Sunday Demonte yuko huru

Se Busca

Member
Joined
Dec 11, 2023
Posts
88
Reaction score
306
mambo vipi leo nimekutana na sunday demonte am so excited kwa kweli nimekutana mtu niliekuwa namsoma kwenye magazeti na kupiganae story

Nimcheshi mno ana story nyingi kuhusu hawa wanawake mastar wa bongo itoshekusema aliwala sana hawa mabongo movie kipindi hicho

kilichonishangaza zaid umbile lake ni dogo sana kama mtoto wa elfu mbili kumbe ni mwenye miaka 41 sasa hakika nimefurahi sana, alikuwa na pesa nyingi sana, amefanya kila aina ya starehe aloo
Alijua kula maisha kwa kipindi chake kuna yoyote anajua kisa cha Sunday Demonte Nguli huyu wa Madawa ya Kukevya Nchini Dubai
 
Picha in msekwa voice.
Screenshot_20250615_091237.jpg
 
Embu toa maelezo ya kutosheleza..... Ni nani huyo demonta........
 
Huyu jamaa ndiye yule aliyekuwa na hela then akafungwa Dubai !?
 
Back
Top Bottom