Sumu ya panya inaweza kumuua paka ?

Sumu ya panya inaweza kumuua paka ?

Dah uzi wa zamani sana,huyo alikua paka mwitu.
Niliwamaliza mpaka wa paka jirani na mbwa wala mizoga.
Na mi ndo nashida hii
Kuna mipaka sijui inatokea wapi mikubwa,I akija usiku inaingia bandani ,imekula kuku wadogo aiseee, Nina hasira.
Ulitumia sumu ipi?
 
Paka ni wasumbufu sana mjini . Halafu ni kama wana akili inayoendana sana na ya binadamu kwa kiasi fulani hivi. Wajanja janja sana.

Je, ukimtega paka ukamwekea sumu ya panya anakufa ? au ananusa na kuescape ?

Nataka nimpikie rost safi nijazamo humo sumu ya panya ili paka ale afe kabisa.

Mwenye ujuzi namna ya kuua paka tafadhari jamani.
Anza kula wewe kwani hulka yako ni kama paka tuu
 
Na mi ndo nashida hii
Kuna mipaka sijui inatokea wapi mikubwa,I akija usiku inaingia bandani ,imekula kuku wadogo aiseee, Nina hasira.
Ulitumia sumu ipi?
Nilitumia sumu ya panya sikumbuki brand name,niliweka kwenye samaki nikakausha sehemu zote zenye majimaji,niliambiwa niweke na baking powder kuondoa harufu ya sumu
 
Back
Top Bottom