Sumu ya panya inaweza kumuua paka ?

Sumu ya panya inaweza kumuua paka ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Paka ni wasumbufu sana mjini . Halafu ni kama wana akili inayoendana sana na ya binadamu kwa kiasi fulani hivi. Wajanja janja sana.

Je, ukimtega paka ukamwekea sumu ya panya anakufa ? au ananusa na kuescape ?

Nataka nimpikie rost safi nijazamo humo sumu ya panya ili paka ale afe kabisa.

Mwenye ujuzi namna ya kuua paka tafadhari jamani.
 
Paka hawezi kufa Kwa sumu ya Panya, labda Kwa sumu ya Nyingine. Hiyo sumu ya Panya itamlevya tu paka, ila badae atakuwa sawa
 
Ungejua jinsi sumu inavyofanya kazi.....ungekuwa na jibu tayari
 
paka hafi kizembe ivyo kuna mahali nilisikia ukichanganya amila kwenye chakula atavimba tumbo atashindwa ata kutembea mpaka anakufa
 
Labda paka wa mjini wanaweza kufa ila paka wa kijijini hawafi kwa sumu ya panya coz kuna majani fulani akila anatapika sana baada ya hapo anakonda kama siku tatu hivi baada ya hapo mwendo mdundo tena anakuwa sugu kwelikweli
 
Sumu za panya zipo za aina nyingi. Kifupi sumu ya panya inaua paka. Kuna sumu ya panya ipo vipunje kama hamira lakini ni nyeusi hiyo mnyama akila hafiki mbali. Paka wengi washakufa kwa hiyo sumu.
 
paka hafi kizembe ivyo kuna mahali nilisikia ukichanganya amila kwenye chakula atavimba tumbo atashindwa ata kutembea mpaka anakufa
Nimetoka kuua Paka kwa kutega samaki mwenye sumu ya panya baada ya kuona ananimalizia vifaranga vyangu.

Paka anakufa kwa sumu ya panya, labda iwe sumu unayosema hafi labda ni ya "Dar" haina makali.
 
Hapana, nina uhakik anakufa asilimia zote, kuna mtu alimtegea paka wakafa wawili so anakufa wala halewi
Kinachomuua Panya ni kiu, sababu ile sumu inaenda kukausha Maji mwilini. Ataweza kumzuia paka asinywe Maji?
 
Back
Top Bottom