Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
Tena halewi mana sio pombe hiyo anakufa haswaa hata kunguru ukitegea sum ya panya anakufa akila mitego ulotegaNa afe kweli kweli
Tena halewi mana sio pombe hiyo anakufa haswaa hata kunguru ukitegea sum ya panya anakufa akila mitego ulotegaNa afe kweli kweli
umetumia sumu ya aina gani mkuu tupe ata picha ya kifungashio kama hutojariNimetoka kuua Paka kwa kutega samaki mwenye sumu ya panya baada ya kuona ananimalizia vifaranga vyangu.
Paka anakufa kwa sumu ya panya, labda iwe sumu unayosema hafi labda ni ya "Dar" haina makali.
Usiwe mbishi, natambua sana panya akinywa maj sum haifany kazi lakini amini sumu hiyo hiyo akitegewa paka anakufaKinachomuua Panya ni kiu, sababu ile sumu inaenda kukausha Maji mwilini. Ataweza kumzuia paka asinywe Maji?
Siwezi kuweka picha, ila nenda dukani kaulize sumu ya panya, mende, kunguni, chawa, viroboto, utitiri n.kumetumia sumu ya aina gani mkuu tupe ata picha ya kifungashio kama hutojari
Tumia zile zile sumu zapanyaumetumia sumu ya aina gani mkuu tupe ata picha ya kifungashio kama hutojari
Tena halewi mana sio pombe hiyo anakufa haswaa hata kunguru ukitegea sum ya panya anakufa akila mitego ulotega
Inamuua kwa kasi sana ukiipata sumu ya panya original! tafuta kichwa cha samaki sunda over-dose ya sumu ya panya! iweke sehemu salama, hata nusu saa haifiki paka atakuja kujiua...kichwa cha samaki na paka kama inzi na usaha [emoji38] [emoji38] kihivyo nimesha yaua mapaka mengi!Paka ni wasumbufu sana mjini . Halafu ni kama wana akili inayoendana sana na ya binadamu kwa kiasi fulani hivi. Wajanja janja sana.
Je, ukimtega paka ukamwekea sumu ya panya anakufa ? au ananusa na kuescape ?
Nataka nimpikie rost safi nijazamo humo sumu ya panya ili paka ale afe kabisa.
Mwenye ujuzi namna ya kuua paka tafadhari jamani.
dha kumbe nayo inauwa sikujua but paka huwa nawapenda bado sijapata sababu ya kuuwa pakaTumia zile zile sumu zapanya
Unafaham hata indocid inaua panya??
Indocis sidhan kama inaua paka ila panya inauadha kumbe nayo inauwa sikujua but paka huwa nawapenda bado sijapata sababu ya kuuwa paka
Mimi nimeua huyu kwa sumu ya panya baada ya kunimalizia vifaranga wa kuku wanguView attachment 877663View attachment 877664
Nimeua wengi tu!Mimi nimeua huyu kwa sumu ya panya baada ya kunimalizia vifaranga wa kuku wanguView attachment 877663View attachment 877664
Afadhali wametuchosha hapa homeHapana, nina uhakik anakufa asilimia zote, kuna mtu alimtegea paka wakafa wawili so anakufa wala halewi
Inaitwaje mkuu?Sumu za panya zipo za aina nyingi. Kifupi sumu ya panya inaua paka. Kuna sumu ya panya ipo vipunje kama hamira lakini ni nyeusi hiyo mnyama akila hafiki mbali. Paka wengi washakufa kwa hiyo sumu.
Na mi ndo nashida hiiDah uzi wa zamani sana,huyo alikua paka mwitu.
Niliwamaliza mpaka wa paka jirani na mbwa wala mizoga.