Sumu ya kuua kunguru ni ipi?

Sumu ya kuua kunguru ni ipi?

Kwa hiyo ukaona uanzishe na Uzi kabisa
Acha tu yaani hawa wadudu wanafujo sana na wameanza kuwepo hapa kuanzia mwaka jana ila sasa hivi naona kama wanaanza kukosa adabu. Yaani fujo nyingi.
 
Lazima tuwe na mpango wa kutokomeza kunguru weusi tii hawa ni ndege wasio na adabu kwa binadamu tena wanajikuta ma gangster sana
Ha ha ha ha dah nimecheka hapo uliposema wanajifanya magangster. Of course hivi vindege vina madharau sana. Nimejiapiza siku nikimkamata mojawapo mzima mzima. Nitachuma bakora nitamtandika huku namsemea maneno yote ya dharau.
 
Nimeita kijana leo kapanda juu ya mnazi amewashusha watoto wanne. Nimewakung'uta na bomba huku wazazi wao wanatazama.

Nimewatupa hapo barabarani. Ukoo mzima umenijia juu nimeshindwa hata kutoka nje kuosha gari wala kuanika nguo mbwa hawa. Yaani wanajihadi kama taleban....
Nawewe punguza uwoga. Sasa unajifungia ndani kisa kunguru?
 
Nimeuwa vitoto vyao vinne leo nikavitupa huku wakishuhudia. Vita wameniletea aiseee yaani ni bifu kali la maana. Walijaaa hadi nikasema hawa ndege sijui nikawachukulie RB polisi maana naona hatuelewani kabisa na hizi fujo wananifanyia zimevuka mipaka ya heshima ya raia.


I hope walivyoona watoto wao nimewaua wanaweza kuondoka na kutorudi tena. Maana nimewachapa na bomba walikuwa kwenye kiota kwenye mnazi hapo jirani ya ukuta wa nyumba ya jirani. Nikamwambia kijana aje kuwashusha amewashusha chini nikawaburuta hadi sehemu ya wazi.

Wazazi wakaja wakawa wanaleta zengwe nikachukua mwamvuli na bomba la maji yale meusi malaini nikaanza watandika wale watoto hadi wakadedi na kutoka damu. Nikawatupa barabarani hapo. Yaani dakika si nyingi walikusanyika hapo nje walileta vagi ambalo sijawahi ona.
Ha ha ha ha. Dawa ni moja watege na neti ukiwakamata wapeleke ukawatelekeze huko njombe baridi iwashikishe adabu
 
Sasahivi wamepungua sanaaa, kuna wakati walikuwa kero mpaka kwenye vibanda vya chips wananyakua watu misosi

Ifanyike kampeni tokomeza kama miaka ile ya 2000's

Na ni Mzee Ruksa ndio aliwaleta huko pwani kutoka India
Hawakuletwa na mzee Ruksa kiongozi hawa waliletwa Zanzibar kutoka India miaka ya 70 lengo likiwa kuwatumia kuondoa mizoga maeneo ya ufukweni bila kufahamu madhara yake, basi wakaanza kuzaliana kwa kasi ya ajabu ndio wakaanza kuhamia maeneo mengine ya pwani ya bara kwa ukorofi wao wakaanza kuwashambulia wale kunguru wa asili mpaka wakawatokomeza mbali zaidi na pwani, hawa kunguru aisee ni very aggresive sifa yao kubwa mara zote wao huwa ndio wa kwanza kumuona adui ndio maana ni ngumu sana kumpiga kwa jiwe au manati kwa sababu unapojiandaa kumshambulia yeye anakuwa alishakuona zamaani na ukimtegea mtego au sumu hakikisha hakuoni unavyoweka, akikuona tu hata sogea hilo eneo, kingine wana hasira, kisasi na umoja, ikitokea mmoja kauwawa basi hilo eneo ni balaa, watakusanyika kundi eneo hilo wakipiga kelele za kuomboleza huku wakishambulia kila kinachokatiza kwa siku kadhaa. Kama ulidhani kunguru kumnyea binadamu ni bahati mbaya ulikosea hufanya hivyo kwa makusudi kabisa, ukikaa chini ya mti huwa wanakuja kimya kimya akikudondoshea puu ile unainua macho juu kumtazama utakuta kishatembea kitambo na sio puu tu wakati mwingine huwa ni mifupa au kipande cha mti, kiufupi kunguru weusi ni moja ya ndege wenye itelijensia ya hali juu sana ukilinganisha na ndege wengine.
 
Nimeuwa vitoto vyao vinne leo nikavitupa huku wakishuhudia. Vita wameniletea aiseee yaani ni bifu kali la maana. Walijaaa hadi nikasema hawa ndege sijui nikawachukulie RB polisi maana naona hatuelewani kabisa na hizi fujo wananifanyia zimevuka mipaka ya heshima ya raia.


I hope walivyoona watoto wao nimewaua wanaweza kuondoka na kutorudi tena. Maana nimewachapa na bomba walikuwa kwenye kiota kwenye mnazi hapo jirani ya ukuta wa nyumba ya jirani. Nikamwambia kijana aje kuwashusha amewashusha chini nikawaburuta hadi sehemu ya wazi.

Wazazi wakaja wakawa wanaleta zengwe nikachukua mwamvuli na bomba la maji yale meusi malaini nikaanza watandika wale watoto hadi wakadedi na kutoka damu. Nikawatupa barabarani hapo. Yaani dakika si nyingi walikusanyika hapo nje walileta vagi ambalo sijawahi ona.
Pole yako na umejichanganya kuwachokoza alshabab. Hilo bifu lao hutaliweza kwani sio la nchi hiyo. Halitaisha utatupa mrejesho hapa.
 
Nawewe punguza uwoga. Sasa unajifungia ndani kisa kunguru?
Bro unaweza kuwa huwajui hao ndio maana unasema hivyo. Hao wakiona umeua watoto wao ugomvi nao hauhishi. Huwa wanakusanyika, piga kelele, donoa na shambulia yule aliyesababisha mauaji yao. Fuatilia kisa chao na mbwa huko India.
 
KUNGUNI NI WADUDUDU WA AJABU SANA, HUWA HAWAFI KWA DAWA MOJA, DAWA MOJA HUWEZA KUFANYA KAZI KWA HUYU NA KWA MWINGINE IKAGONGA MWAMBA TU, NI KAWAIDA SANA.

KWA UZOEFU SASA, MAAKE WAMEWAHI KUNINYANYASA NA KUNIAIBISHA SANA WAKATI FULANI, NIKATAFUTA DAWA KWA UDI NA UVUMBA NA KUWAMALIZA KABISA, SINA HAKIKA KAMA ITAKUSAIDIA LAKN UNAWEZA KUJARIBU TU, "HEBU TAFUTA ZILE DAWA ZA KUTUNZIA MAITI, HUWA ZIPO KATIKA HALI YA MAJI, UTADILUTE KIDOGO NA MAJI, KISHA MWAGA KIDOGOKIDOGO MAENEO YALIYOATHIRIKA, HAPO HUWA HAWACHUKUI ROUND KABISA, WANAKAUKA KAUKAU"

JARIBU HIYO, UKIFANIKIWA UTANISHUKURU BAADAE.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kunguru na Kunguni ni sawa??? Au mtoa mada anasumbuliwa na kunguni piaaa
 
tafuta miba ya samaki sana yale matumbo tumbo au kama utawezatafuta pande la samaki

kata vipande vipande nyunyizia sumu yabpanya ile nyeusi kam chenga hivi tegea sehem unajua lazima waje kula hakikisha kuku,paka au hata mbwa hawali mana nao watakufa

trust me wataanguka kama mvua yan wanadondoka kama wote

mie jiran kwangu kuna mti huo ni maskani yan ukiacha ndoo ya maji nie unakuta amegeuza swimming pool anadumbukia humo anapiga mabawa humo anazama humo ili mradi aoge kama njiwa
Huyo Jirani yako hajui hii Mbinu yako ?
 
Muulize muheshimiwa Ali Mwinyi ndio aliyo waleta
Yaani
 
Mimi nilinunua mtego wa panya naweka kipande cha nyama. Niliwapunguza lakini wanikariri. Kila wakiona waliobaki wanaitana
Nitawachokoza Ili wanisaidie kunikimbiza niwe nakimbia kimbia nafanya mazoezi #kunguru marathon
 
Hawa wameshazoea sana watu kunguru wa Dar hawana discipline hata kidogo. Anaweza kukaa juu ya bati akakukatia gogo kichwani au mgongoni, unashangaa tu paaaah kitu cha moto moto amekudondoshea wao wanahisi maisha ni mchezo mchezo hawa ndege choko sana.
 
Back
Top Bottom